OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Issue ni ranking zaidi kuliko anapotokea be it makao au wapi. . . .Lakini mbona hata mangu amekaa sana makao makuu baada ya kutoka mwanza alipokua RCO(Sijui nimepatia cheo),then akaenda USA kusoma kabla hajarudi makao makuu,kisha tena ndo akawa RPC wa pwani,kabla hajaenda kuwa RPC wa mwanza baada ya kuuawa rpc pale.