Lema awasha moto Igunga

Anasema jinsi kitengo cha propaganda kili mzushia mrema kuwa ni mwehu, na cuf ni waislam sasa Wanasema cdm ni ya wachaga, sasa wanasema ni wadini wapuuzen.
 
Anatoa wito kuwa waislam wasitumiwe na ccm, wa2 wanapaza sauti Wakimtaka lema na dr. Waongee
 
Utafiti huo kuwa Watanzania wamekerwa umefanywa na nani? REDET?
 
Lema anaongea, yeye ni kiboko ya pinda, wa2 waigunga wanaigarimu taifa kwa kumchagua r.a. ni mwiizi na hana nyumba hata igunga ana
 

eti huyu naye mbunge..... ni wale wale bongo star search
 
Anasema polisi wasiwapige mabom wa2 wanapodai haki zao, anaongelea mfumuko wa bei na kupanda kwa garama za maisha wa2 wanashangilia kweli
 
Lakini hata hivyo naona CCM wamestaarabika sasa kutowaamuru polisi wao kuzuia mkutano ule. Au tuseme RA baada ya kuanza kunyoynolewa manyoya sasa anashindwa kumuamuru OCD wa Nzega kupiga marufuku mkutano ktk jimbo lake? Kweli mambo hubadilika!!

Lakini kule Zenj haya mambo bado yapo. Kuna jimbo moja nadhani la Shamuhuna CUF huwa hawatakiwi kufanya mkutano - na bado wamekubali kuolewa na CCM!!!! Tehe tehe tehe!!!!!
 

Yale maandamano yako Mh. yaliishia wapi? Umekalia kupiga porojo tu!!
 
Anasema kikwete hapingwi kwa sababu ya dini yake na mafisadi walotajwa wengi ni wakristo wanaigunga wasidanganyike na ccm
 
Anasema bora vita vinavodai usawa kuliko amani inayopumbaza, anamponda makinda spika, na wa2 wanashangilia kweli.
 
Wa2 wa igunga wapange siku ya maandamano ya kumpinga kibaka r.a lema atayaongoza na aalikwe mama yake r.a
 

sawa daktari... na CCM na ufisadi, kipi bora? by the way hiyo ni fikra yako tu, walikuwepo wapinzani wengi tu maarufu na walisharudi CCM lakini CDM inasonga mbele kwa nini unadai haina misingi? ulitaka misingi gani? shida mnayo mpaka kielewe, wananchi tumeanza kuikubali chadema, simply b'se ndiyo wananosimamia maslahi ya Watanzania.
 
Hakika jf tunahita watu kama ww, ukizingatia unatumia simu
 
Anasema hakufika igunga kwani ratiba ilibana anashukuru kwa kura za uraic na udiwan,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…