Kwanza hongereeni wote Lema, Mawakili, na wanachama wa CDM. Ujumbe wangu kwa wapendwa wa JF na CDM nadhani hii ni golden opprtunity kwa kuwaunganisha na kuachana na siasa za makundi aliyeshinda hapa si Lema bali CDM kwa hiyo wote tushangilie. Kwa kuwa kwa kila jambo Mungu Baba anakusudio lake basi nanyi leo Mungu amekupeni fursa hii mkaitumie kwa manufaa ya Watanzania. Hakuna haja kumshambulia zito, mtela na wengine wote kwani mnaidhoofisha CHADEMA. Hata funza akiingia mwilini humtoa bila kusababisha kidonda, itakuwa wanachama ambao wamekuwapo kwa kipindi kirefu katika chama. In boxing it is the skin break in the face that provides an opportunity for the oponent to keep on punching at the same point until when the wound grows and blood breeding becomes uncontrollable and the title race is concluded with technical knockout. Are you ready for that? Malizeni hiyo hoja makamanda You are not punching Zito but CDM, and also Zito and company they are not punching Slaa but CDM and you all privately or openly claim you are CDM diehards, it is rubbish stop that immediately guys.