Natofautiana nawe hapo, anapaswa kuwatumikia wananchi wote wa jimbo lake na watz bila ubaguzi, au vp mkubwa?
vipi wazee wa vitu vyenye ncha kali nao wamefika?
Mkuu Ritz!
You sound like great sinker!
Nashangaa Radio 1 hawajaitoa kama breaking news, maana hii ni ajali mbaya kwa ccm, na jamaa ni wazuri sana kwenye eneo hilo(breaking news za ajali ajali).