Lema: Arusha hakuna CCM

Lema: Arusha hakuna CCM

Tafadhali naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza kuvumilia . Lakini hili la kufikiri CCM iko Arusha ni jambo la hatari sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa sababu picha yake inaonekana katika noti.

Arusha sitarajii kushindana na CCM ila CCM wanasubiri kushindwa tena kata zote na Jimbo . Lema
kitendo cha kufuta unyonge na uoga miongoni mwa wananchi hakika kimekupa heshima kubwa ndani na nje ya nchi .
 
LEMA acha maneno ya kijambazi jambazi hapa rudi kwenye mtokeo ya wanyeviti wa mitaa Arusha Kupita tena ujipange sana labda uwateke wanaCCM Wote
 
kwa tulivyo waelewa kisiasa kwa nyakati hz za lema hatuoni haja ya kusema lema kafanya nini Arusha cuz hawezi nipa pesa....
 
Acha utoto wewe mwizi wa magari,

Arusha hakuna CCM so what??

Watu wanataka kujua katika kipindi chako cha miaka mitano umefanya kipi katika ahadi zako ulizoziahid then utapiwa hapo,

Wewe nan kakuambia kuwa watu wanapima ushabiki wa kisiasa baina ya chadema na ccm??

CHADEMA CHAMA CHA AJABU SANA,,SASA ANGALIA WABUNGE WANAOWAITA WAANDAMIZ NDAN YA CHAMA NDIYO KAMA HAWA

TEH TEH TEH TEH

WEWE NADHAN QUALIFICATION ILIYOKUPA UBUNGE NI HUO UCHAGA WAKO NA DINI YAKO TUH

SUBIRI MWAKA HUU UONE KIAMA CHAKO.
 
Kwani Mwakasege ni mchungaji? Labda kama anachunga Mbu.nye ya mam'ko! Hivi naye anajua kutoa rushwa? Maana bila rushwa hawezi kupitishwa na maccm!! Na akipitishwa atachuma aibu!

Mods na nyie ni chadema nini? Au mlengo wenu ni nini hasa? Hivi mnawezaje kumuacha mtu akitukana watu namna Hii? Afu mmekaa tu
 
Zitto hawa hapa wanafiki wako.

mlete zito agombee udiwani kama atapata zaidi ya kura yako hapa A.city wakuu WA magogoni wenyewe wananyata ndo wabishe hodi hapainachezwa ngoma ya watuwazima njoo na yakwako ya kit to ucheze mwenyee
 
Last edited by a moderator:
UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI ARUSHA TULISHA PIGAKURA TUNASUBIRI NEC WAMTANGAZE MH.LEMA AS A PRESIDENT OF ARUSHA CCM Ni wakimbizi hapa ar
 
Tafadhali naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza kuvumilia . Lakini hili la kufikiri CCM iko Arusha ni jambo la hatari sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa sababu picha yake inaonekana katika noti.

Arusha sitarajii kushindana na CCM ila CCM wanasubiri kushindwa tena kata zote na Jimbo . Lema

Naked truth commander.
 
Hv zile picha zako za uchi ukipewa raha na vidume haikufika jimboni kwako au hawana simu za whatsapp?
 
wewe jamaa ni mbunge lakini uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, tumepata hasara kubwa sana kuwa na mbunge wa aina yako kipindi chote ukiwa mwakilishi wa jimbo, unasikitisha.
 
Back
Top Bottom