Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,870
- 32,650
Ona jinsi akina Mbowe wanavyowaharibu hapo ufipa nyie vijana.apasuke bibiyo
Ona jinsi akina Mbowe wanavyowaharibu hapo ufipa nyie vijana.apasuke bibiyo
Kwa hiyo awamu ya tano Uchumi umeimarika sana,Demokrasia imeshamiri,Uhuru wa Habari uko juu,ndo maana Arusha wanaipenda CCM?Hii ilikuwa wakati wa awamu ya nne.
Hee !😳Asante sana Kamanda , ukweli huo unajulikana hata nje ya nchi , tunakushukuru sana kwa kuikomboa Arusha na kuipatia uhuru wa kweli , hatuna cha kukupa mkuu ila uhakika ni kwamba Mungu atukulipa jasho lako .
Waulize watakujibu.Kwa hiyo awamu ya tano Uchumi umeimarika sana,Demokrasia imeshamiri,Uhuru wa Habari uko juu,ndo maana Arusha wanaipenda CCM?