Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
mna ashk nyie mi michezo hyo siiwez
Naona fisi wamekufanyia mambo ya pwani wewe
mna ashk nyie mi michezo hyo siiwez
Naona fisi wamekufanyia mambo ya pwani wewe
Mkuu usijaribu kufuta mjadala ambao ni wakotaifa kuhusu utesaji na ugaidi uliofanyika kwenye chumba cha kutesea watu pale ufipa Guantanamo!
Na mnukuu Khalidi
" Jamani hiki chama ambacho kina ndoto
ya kuchukua nchi leo kinaandaa
mipango ya mauaji na utesaji kama
walivyonifanyia? Maana wameniteka na
kunifungia kwenye chumba cha utesaji
wanachomiliki wao wamechoma visu na
kuweka kwenye Mashine ya umeme bila
kosa lolote, eti wakinishinikiza mimi
nitaje wanaonituma, jamani nawaambia
mimi hanitumi mtu ameedelea kusema
Kagenzi.
muulze lema wakat anagawa wa kwanza kupata ni nan hapo ndo utajua mi nan
Asante kamandaSio HAKUNA ni HAKUNAGAA!
Ruttashobolwa=Kagenzi=Ruge=Koku=Tiba= Ukoo wa Wapenda Pesa, wote wa kule kule alipoposhitukia mwl Nyerere.
Kweli Lema ni kichwa maji
Godi CCM ipo kila mahali, kusema haipo unajaribu kupingana na ukweli. Hawa ndio washindani wako, Philimon Mollel, Deo Mtui, Victor Njau, Dk Harlod , Justin Nyari, Mustafa Panju(Bush back) Godi Mwalusamba . Hawa ni kwa uchache.
Tafadhali naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza kuvumilia . Lakini hili la kufikiri CCM iko Arusha ni jambo la hatari sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa sababu picha yake inaonekana katika noti.
Arusha sitarajii kushindana na CCM ila CCM wanasubiri kushindwa tena kata zote na Jimbo . Lema
Jimbo la Arusha Mjini linachukuliwa na mchungaji mwakasege kwa tiketi ya CCM.
Huyu kilaza ataka nini tena huku na utumbo huu?
Tafadhali naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza kuvumilia . Lakini hili la kufikiri CCM iko Arusha ni jambo la hatari sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa sababu picha yake inaonekana katika noti.
Arusha sitarajii kushindana na CCM ila CCM wanasubiri kushindwa tena kata zote na Jimbo . Lema
Lema anza kuwaaga wana Arusha mapema Mchungaji Mwakasege anakuja kulichukua jimbo la Arusha Mjini
Umenena sawa kabisa Kamanda Godbless J Lema. Hata mimi nilijionea nilipokuja huko. Mtashindana CHADEMA wenyewe chamani mwenu
Kisiasa: Arusha ni ngome imara ya CHADEMA. Lakini CCM bado iko imara na inaendelea kuendesha siasa zake za ndani na nje. Wananchi wa Arusha wanashiriki katika siasa za jiji hilo kama sehemu ya maisha yao za kila siku. Kimsingi,hakuna asiyefuatilia siasa pale na nchi nzima. Wana-Arusha ni wanasiasa wa kuzaliwa.
Kiuchumi: Arusha kuna uwekezaji wa kutosha kuanzia mdogo hadi ule mkubwa kabisa. Uchumi wa Arusha unaonekana kwa macho.Hata vijana wa kawaida kabisa ni watafutaji wasiochoka na wanajitahidi kujiepusha na uvivu usio na maana.Lakini kuna changamoto za barabara hasa za mitaa. Hizi bado hazijaimarishwa vya kutosha.
Kijamii: Wana-Arusha ni marafiki, wasemaji wazuri, na wakarimu. Arusha ni tulivu na salama. Kuna changamoto tu kama za Dar na kwingineko za madadapoa.
Kielimu: Sekta hii sijaisoma vizuri kwa muda niliokuwa pale.
Kimichezo: Wana-Arusha ni wafutiliaji na washiriki wazuri wa michezo.
Hongereni wana-Arusha na mtafute suluhisho la changamoto mlizonazo. Asanteni sana kwa kutu-host kwa uzuri Mawakili Wasomi wa nchi hii na nyingine.
eee bhana mkuu , nakusalimia habari za siku nyingi ?Sio HAKUNA ni HAKUNAGAA!