Lema: Arusha hakuna CCM

Lema: Arusha hakuna CCM

Tafadhali naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza kuvumilia . Lakini hili la kufikiri CCM iko Arusha ni jambo la hatari sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa sababu picha yake inaonekana katika noti.

Arusha sitarajii kushindana na CCM ila CCM wanasubiri kushindwa tena kata zote na Jimbo . Lema

Leo nimeamini Arusha tuna mropokaji hakuna muwakilishi ,hivi unafikiri wananchi wameridhika na ahadi hewa ambazo hujatimiza mmpaka Sasa zaidi ya kuleta machafuko vurugu Kila siku na police ...wapi machinga complex arusha ,community center ,huduma ya maji kwa mworomboo na maeneo mengine mara yako ya mwisho kufanya mkutano na wananchi wa kata kujua matatizo Yao,
Mwizi na mlevi mkubwa unaropoka Kila mahali hakuna anayevumilia ujinga Wako sema kwakuwa chama chako hakina Demokrasia watakupitisha Tena ugombe na utakuwa mwishooo wako kabla watu hawajageuza chapati asubuhi na mapema.....bora kuongozwa na mmbwa lakini sio wewe
 
Mh.Lema
Mkoa wa Arusha hapo Octoba 2015 tuna uhakika na Majimbo ya Arusha mjini,Arumeru yote na Karatu Kati ya majimbo saba ya ubunge.
Nguvu zaidi zinahitajika sasa ni Ngorongoro maccm yanakopita bila kupingwa kila baada ya miaka mitano.monduli na Longido.
 
Tafadhali
naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza
kuvumilia . Lakini hili la kufikiri CCM iko Arusha ni jambo la hatari
sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa
sababu picha yake inaonekana katika noti.

Arusha sitarajii kushindana na CCM ila CCM wanasubiri kushindwa tena
kata zote na Jimbo . Lema

hope sio wew uloandika hii. lakini kwa chadema kuongea hivi sishangai. kiongozi gan anatamka matusi???
 
Kwa nini ulitoe suala la maandamano liache maana ndicho wanachojivunia watu wa Arusha, maandamano ndiyo yamewezesha kuiondoa ccm, kwa kifupi watu wa AR wanajivunia kuiondoa ccm Arusha, full stop
 
2020 Ndio utajua ipo au haipo nyamaf arusha ni kama hatuna mbunge hunalolote unalofanya la maendeleo kazi kupambana na mavitu ambayo hayatusaidii sisi wananchi wa jimbo lako sisi machalii wa ara hatutaki umbea umbea tunataka kuona kazi
 
Madiwani kibao wamebwaga manyanga wewe bado unaendelea na ubishi wako wa kibavicha bavicha tu.
Hao madiwani na wabunge ni sehemu ya jamii, heri mara mia wahamie huko kuliko mateso mnayowapatia, wanatishwa kila kukicha hawana amani, msivyo na haya hadi viongozi wa vitongoji mnawasumbua na kuwatishia msisha wahamie ccm.
Kwa akili hii ya mafimafi ya awamu ya 5 watu wanawachukia sana.
Nilikuwa na Askari moja mwenye cheo kikubwa sana lkn alinisimulia hadi nikajisikia vibaya jinsi askari wanateseka moyoni kwa kuwapora wapinzani ushindi,
nanukuuu "Magufuli ana fanya mambo mengi mazuri, lakini ananisikitisha kubariki biashara ya kununua wapinzani, pesa anazotumia kwa uchaguzi zingeweza kujenga hospitali teule kule Manyoni.
Uchaguzi wa Kigoma na Monduli wapinzani walishinda wakaporwa. Ninasikitika sana kwa uchaguzi ujao 2020 hali itakuwa mbaya kwani askari hawatoshi na hataki kuajiri labda uchaguzi ufanyike Kikanda na siku tofauti"
mwisho wa kunukuu.
@Magojwa mtambuka
tuseme kweli, siasa mnazoendesha mnaharibu taifa, mmeleta chuki na mgawanyiko.
Hawa mnaowatesa wana watoto wanaumia wanapoona wazazi wanasiasa wa upinzani wanateswa, majirani na ndg zao wanaumia, wanajenga chuki dhidi yenu.
Hamna hofu ya Mungu...why?
Mnasaliti Nyerere mapema hivi?
Mnalipeleka wapi taifa?
Mnatetea matumbo na sio wanyonge.
 
Amebaki diwani Bananga mnywa gongo.
 
Amebaki diwani Bananga mnywa gongo.
ona usivyo na akili hata kidogo pamoja na uzee wako, pamoja na kuandika na kukuhoji mambo ya msingi jinsi mnavyolivuruga taifa bado unaleta utoto hapa, mmelaaniwa na vizazi vyenu,.
Taifa ni kubwa kuliko vyama..
Tanzania ni zaidi ya ccm na chadema.
pumbaff wewe, umeniudhi sana
 
Shauri yako. Kama umeudhika pasuka.
 
Back
Top Bottom