victor shio
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 651
- 109
Huyu kilaza ataka nini tena huku na utumbo huu?
Huna hekima wewe mijinga ndio maana unakurupuka acha upoyoyo huna hoja
Huyu kilaza ataka nini tena huku na utumbo huu?
....
.....Na majengo ya ccm Arusha yarudishwe kwa wananchi yatumike kwa shughuli za umma !!!
Mkuu nani mmiliki wa funguo za chumba cha kutesea watu pale Guantanamo ufipa?
We tulia waarusha wajitambue, maana umeweka maandamo ya kutosha na kusababisha fursa nyingi kukosekana katika mji wao. Subiri waitafakari hii kauli kwanza, kwamba Mangi Sina wa MBOKHOM yupoyupo sana.
Lema ukipita kwnye kura za Maoni ni bahati saana .
Timu yako uliyofanya nayo kazi 2010 na kuupata ubunge yote umeisaliti,uliwatumia kama Condom bila kujua watakuja kuwa msaada wako 2015.
Sasa mda wao umefika na huu ndio utakua wakati wao wa kurevedge .
Omba saaana chama kikupitishe.
Tafadhali naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza kuvumilia . Lakini hili la kufikiri ccm iko Arusha ni jambo la hatari sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa sababu picha yake inaonekana katika noti `. Arusha sitarajii kushindana na ccm ila ccm wanasubiri kushindwa tena kata zote na Jimbo . Lema
Tutatumia Kalamu na Taluma yetu ya uwandishi kuwaeleza wananchi wa Arusha na viunga vyake kazi nzuri ya Mh Godbless J Lema maana tumekuja tukajionea naninarudi tena kuja kuweka kambi hapoNi Mpumbavu tu atakayesema Kuna ccm Arusha. CCM Arusha walishakufa. Nasikia Kuna mpumbavu kaandaa fungu eti kushindana na Lema, hajajua maccm yanataka kupiga dili
Mkuu usijaribu kufuta mjadala ambao ni wakotaifa kuhusu utesaji na ugaidi uliofanyika kwenye chumba cha kutesea watu pale ufipa Guantanamo!
Na mnukuu Khalidi
" Jamani hiki chama ambacho kina ndoto
ya kuchukua nchi leo kinaandaa
mipango ya mauaji na utesaji kama
walivyonifanyia? Maana wameniteka na
kunifungia kwenye chumba cha utesaji
wanachomiliki wao wamechoma visu na
kuweka kwenye Mashine ya umeme bila
kosa lolote, eti wakinishinikiza mimi
nitaje wanaonituma, jamani nawaambia
mimi hanitumi mtu ameedelea kusema
Kagenzi.
Watasubiri sana Lema nikamanda wa ukweli na kazi yake imetukukaWatu wana jua Ubunge ni kuchimba mawe kuna viradio uchara vinaita watu eti na wao wanataka ubunge arusha chajabu masalia ya ccm sasa ivi yana piga kapeni yakijinga kweli wana sema kweli chadema nichama kizuri lakini tumweke mtu mwingine agombee kupitia chadema wata mchagua kweli lema kawashika pabaya
Tutatumia Kalamu na Taluma yetu ya uwandishi kuwaeleza wananchi wa Arusha na viunga vyake kazi nzuri ya Mh Godbless J Lema maana tumekuja tukajionea naninarudi tena kuja kuweka kambi hapo
Cc. Tumaini Makene, Chadema Kwanza, Molemo, Crashwise, Standalone, Mungi
Hivi hawa Wana biashara gani?
Tafadhali naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza kuvumilia . Lakini hili la kufikiri ccm iko Arusha ni jambo la hatari sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa sababu picha yake inaonekana katika noti `. Arusha sitarajii kushindana na ccm ila ccm wanasubiri kushindwa tena kata zote na Jimbo . Lema
Nataka Ubunge arusha mjini kwasababu mke wangu alijifungua nika muomba Mh lema pesa akaniambia komaa kamanda akanipa elfu arobaini wakati nili mpigania kupata Ubunge ujinga mtupu lema alikwambia uwowe kabla uja jipanga alafu mtanga zaji wa hio radio anampongeza ubogaz
Na hapo ndio utakubali na wana Arusha watakubali lema ametimiza majukumu yake Arusha kwa ustadi mkubwa sana ccm walikuwa wameliaribu sana jimbo la Arusha lakini mda mfupi sana Mh. Lema alivyokua mbunge kuna mabadiliko makubwa sana kwenye jimbo la Arusha mjini lema amelimudu sana jimbo la Arusha mjini na baado kuna mengi makubwa sana anayotarajia kuyafanya nitaendelea kuyaweka kwenye makalazangu nitakazokua naendelea kuzileta hapa JfKama siyo Mbunge Lema mtaani kwangu tusingejua kinachoitwa bomba la maji..... Lema ametufanya tujisikie tayari ya serikali kuwatumikia wananchi, tofauti na mfumo WA zamani WA ccm ambapo wananchi tuligeuzwa misukule