Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Lema ni kweli utashinda, Arusha tatizo ccm wanafanya siasa za kikabila na Hawajui Arusha inataka siasa gani
Ccm wameshakufa nakujizika walichobakiwa nacho nifisi tu

tupe cv yako kamanda
Wewe unataka mwanaume mwenye cv?
Ccm wameshakufa nakujizika walichobakiwa nacho nifisi tu
We CHAMVIGA,Huyu kilaza ataka nini tena huku na utumbo huu?
Hivi tukitoa swala la maandamano wana Arusha wana jivunia nini kutoka kwako?
Tafadhali naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza kuvumilia . Lakini hili la kufikiri CCM iko Arusha ni jambo la hatari sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa sababu picha yake inaonekana katika noti.
Arusha sitarajii kushindana na CCM ila CCM wanasubiri kushindwa tena kata zote na Jimbo . Lema

Ahsante mkuu twende kihoja nimaendelewo gani yalio pungu yakuto pato la alimashauri kwenye milioni na kwenda bilion ndio ukupungua kurudisha viwanja vya wazi vilivyo uzwa kinyemela ndio maendeleo kupungua? Naomba uniambie maendeleo yame pungua wapi mkuu na ukumbuke Mh lema kafanya kazi mdaa gani pia.
The The The huyo Fisi harudi tena hapa
Watalii wamepungua sana Arusha kwa ajili ya vurugu za chadema
Eti ni bandiko la Mbunge hili! Kweli Bado tuna safari ndefu.