Lema aachwe jela hadi hamu yake iishe

Lema aachwe jela hadi hamu yake iishe

Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.

Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.

Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.

Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.
Lema aachiwe apoe huko lupango.
Amepata alichokihitaji, na nafikiri hatoki huko hadi Xmas na Mwaka Mpya 2017 zimalizike!
Akitoka huko ndoto full kujinafasi!!
 
Yaweza kua ana hamu na jela kama mleta uzi unavyosema, lakini sheria yetu inatumia vifungu gani katika kumjua mtu mwenye hamu na jela?

Ungewaonesha hivyo vifungu ili wavitumie maana kodi zinaliwa sana kushughulika na kesi kama hii, badala ya kusingizia maagizo kutoka juu, au maagizo kutoka juu ndiyo yanaamua nani ana hamu na jela na nani hana?
Sasa kifungu gani unachokitaka hapo maana mdomo wa lema tayari kifungu cha kwenda jela
 
Vifungu vinatumika katika kuangalia ikiwa mtuhumiwa ana nia ovu na vinaihukumu hiyo nia ovu, bunge letu limewahi kupitisha muswada wa kuutumia mdomo wa mtuhumiwa kama kifungu cha kuing'amua nia ovu na kuihukumu?
 
MWISHO WAKE AKACHOKA MAJUTO ANAJUTIA
RUMANDE IMEMSHIKA, MACHOZI AJILILIA
YALE ALIYOROPOKA, GEREZA KAJITAKIA
HIZI ZAMA SIO ZILE, UJIFUNZE UKITOKA.

IMEPANGWA JANUARI, UTOKE UWAHI BUNGE
UTAKUWA MHARIRI, WA VIKUNDI NA VILINGE
TENA UTAWAKARIRI, NA WENGINE WASIPINGE
HUU WAKATI WAKAZI, WEWE WAOTA MCHANA?
 
Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili, umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu":- Mchungaji Peter
Msigwa
Sasa hizi drama ulizoandika zina uhusiano gani na Lema kwenda jela?
 
Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.

Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.

Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.

Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.
Wallah wewe mdomo lazima utakuwa unanuka shombo LA viatu,vinginevyo wewe teja maana mtu wa kawaida hawezi kuwa na akili kama zako,mi kuanzia Leo Ntakujibu tena baada ya kugundua unapiga unga halafu unaenda kulamba viatu vya yale majitu
 
Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.

Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.

Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.

Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.
Hela ya rambirambi mmeamua mje kugawa Toyo Arusha.

Bado mna akili mfu kweli.

Lema akae hukohuko nyie gaweni mpaka minahii yenu, Arusha haitetereki na haitakaa milele
 
Lema akae jela hadi akinai
 
Nasikia mradi mpya wa KATA FUNUA ni kwa ajili ya kutafutia pesa ya NDAFU na BIA kuelekea X MAS na mwaka mpya.....Jamaa hawana huruma kabisa na mazombie yaao
Kwa akili hizi za mizaha ya kijinga, mnapoenda kulala wenzenu ndio wanaamkia.Ndio maana mlikuwa mkipiga hizi story za kijinga kusifia wahindi ,hata wahindi wajinga walikuwa wakiwapiga walezi bao,sasa wanaume wa kweli waniangia kazini,mnaaza wafanyia wahindi na wajinga kazi ya kuzuia wanaume.
 
Baada ya kata funua...itakuja 'kufa kunoga'.
 
Yaweza kua ana hamu na jela kama mleta uzi unavyosema, lakini sheria yetu inatumia vifungu gani katika kumjua mtu mwenye hamu na jela?

Ungewaonesha hivyo vifungu ili wavitumie maana kodi zinaliwa sana kushughulika na kesi kama hii, badala ya kusingizia maagizo kutoka juu, au maagizo kutoka juu ndiyo yanaamua nani ana hamu na jela na nani hana?
Umemsikia mkewe akisema Lema hataki mawakili wahangaike ili apate dhamana?. Umenielewa sasa.
 
Kweli Lema ana hamu na hataki dhamana
 
Mi nadhani amekoma! na si yeye tu.... wengi wamekoma! kweli hili ni fundisho kwa wenye mdomo mchafu! Lakin upande wa pili wa shilingi naona kama Serikali inavunja mayai kwa nyundo.
Acheni ujinga.Lema anastahili kupata dhamana.Lema ana haki ya kikatiba ya kutoa maoni yake.
Cha msingi ni Lema apewe haki ya dhamana na kesi ya msingi ianze kusikilizwa.Mtu kuwekwa rumande wakati anastahili dhamana na wala hajapatikana na hatia si haki.
Wewe unayeshabikia kuteswa kwa Lema yatakuja tu kukuta na wewe.
 
Back
Top Bottom