Baki na mimi katika hoja yangu ya kua, hilo kosa analotuhumiwa nalo limeonekana lina dhamana.
Mleta uzi hoja yake ni kua mtuhumiwa kwa kua hua anatamba kwamba haogopi kwenda jela basi aende akakae mpaka akinai.
Na ndiyo hiyo hoja mimi nipo nayo, vipi kama kuna mtuhumiwa akasema naogopa kwenda jela tutamuachia kwa ajili ya maneno yake au kwa kadri sheria yetu inavyotuongoza?
Na umeuliza ikiwa Lema alipata maagizo kutoka juu, yeye anasema maagizo kapewa na Mungu kwa imani yake maagizo amepewa na kiumbe kilicho juu ya vyote, kwahiyo ndiyo hayo ni maagizo kutoka juu.