Lema aachwe jela hadi hamu yake iishe

Lema aachwe jela hadi hamu yake iishe

Utakuwa hujaoa wewe ,mkeo akisoma hiki ulichoandika na ushiahidi wa kuonyesha mwenye shida ni wewe na watwala wako atakudharau sana.Anaweza zaa na houseboy. Sasa unabii ndio unawatoa povu hivyo? km ukuta mkajidhalilisha mbaya ,mkaonyesha watu kwamba kweli mna udikteta, km mzee wa upako alivyoamua kujionyesha kuwa ni mlevi kwa kumshambulia jirani huku kalewa.Nani sasa ni mkweli aliyemwita hafai kwa mchungaji au ni yeye aliyekuwa tungi na kuamua leta nouma?
Lema ndiye aliyesema kuwa alitaka hata mkewe asidhaminiwe ili aende jela..si maneno yangu ni ya Lema. Ninasema aachwe akae jela hadi akinai.
 
teh teh .. ni burdani gani lema anapata akiwa lupango. nimekua nawaza labda anatafuta umandela feki na wewe unasema anafuata burdani jela.
Huwa anasema anafurahia maisha ya jela,haogopi kwenda...na mimi nashangaa ni raha gani anapata.
 
Wamwechie bana hakuna binadam aliyekamilika na tabia ni kama ngozi, na ukishindana na chizi mwisho wa Siku wewe ndo unaonekana chizi zaidi. Yule ni kazi ya uumbaji wa mungu, huwezi kumlazimisha MTU kujifunza kama hataki. Ana watoto wanaomtegemea sana. Haya mashindano ya ccm na cdm hayana tija. Pole lema expecting u in street hiyo ijumaa.
Sasa kama mtu anatamka hadharani kuwa yeye na mkewe haogopi jela,wanafurahia jela..kwani watakuwa kama Mandela kwanini kutwa kuchwa anahangaika na dhamana.
 
Sasa kama mtu anatamka hadharani kuwa yeye na mkewe haogopi jela,wanafurahia jela..kwani watakuwa kama Mandela kwanini kutwa kuchwa anahangaika na dhamana.
Kutoelewa kwenu n auvivu wa kufikiri ndio kifo cha CCM. CCM ina sadists wengi sana .Kwa hiyo kusema hivyo kunainyima CCM kufikiri km yupo kwa haki au lah?
 
jifunze kusoma na kuandika. Usilewe mchana.
Ndio hivyo,lowassasumaye na Mbowe wanahusikaje na heading yako?Posho wanayopata(kwa mujibu wako) inahusiana nini na tittle yako hapo juu?Ndio maana nasema hueleweki,unakuwa kama aliyeamka baada ya kupigwa nusu kaputi.
 
Lema ndiye aliyesema kuwa alitaka hata mkewe asidhaminiwe ili aende jela..si maneno yangu ni ya Lema. Ninasema aachwe akae jela hadi akinai.
Kwa hiyo yeye ndie kajihukumu, n ahiyo hukumu ni halali?Wapuuzi ni rahisi sana kuwatega na kuwaanika km mzee wa upako. Alishinda kutukana jirani eti kamwit amlevi hastahili kuw amchungaji, huku yupo bwaxi.Huyo jirani ni mzuri sana.kathibitisha kirahisi sana kwamba huyu jamaa ni mlevi na hafai bila hata kupig apicture pekee yake .
 
Ndio hivyo,lowassasumaye na Mbowe wanahusikaje na heading yako?Posho wanayopata(kwa mujibu wako) inahusiana nini na tittle yako hapo juu?Ndio maana nasema hueleweki,unakuwa kama aliyeamka baada ya kupigwa nusu kaputi.
Wamemsusa wenyewe wanatafuna posho tu huku wakijiandaa na mapumziko ya krismasi na mwaka mpya.Wajinga ndio waliwao.
 
Kutoelewa kwenu n auvivu wa kufikiri ndio kifo cha CCM. CCM ina sadists wengi sana .Kwa hiyo kusema hivyo kunainyima CCM kufikiri km yupo kwa haki au lah?
CCM itakufaje dogo wakati ndio mnategemea kupata wagombea 'mtunguo' kama lowassa?
 
Wamemsusa wenyewe wanatafuna posho tu huku wakijiandaa na mapumziko ya krismasi na mwaka mpya.Wajinga ndio waliwao.
si ungeandika "mbowe,lowassa na sumaye" wamsusia Lema?Jifunzeni namna bora ya kuandika thread,tittle inapaswa iwape wachangiaji heads up
 
si ungeandika "mbowe,lowassa na sumaye" wamsusia Lema?Jifunzeni namna bora ya kuandika thread,tittle inapaswa iwape wachangiaji heads up
Huo ni udikteta sasa...unanipangia hadi mawazo? mbona umekuja humu na povu? ujumbe umeupata lakini. Lema aachwe jela hadi akinai.
 
Huo ni udikteta sasa...unanipangia hadi mawazo? mbona umekuja humu na povu? ujumbe umeupata lakini. Lema aachwe jela hadi akinai.
okay,kuhusu hilo unamwambia au unamshinikiza nani?Unadhani mawazo yako kuna mtu anayatilia maanani au unafurahisha jukwaa tu?grow up bhana
 
okay,kuhusu hilo unamwambia au unamshinikiza nani?Unadhani mawazo yako kuna mtu anayatilia maanani au unafurahisha jukwaa tu?grow up bhana
Umeelewa sasa....nashukuru umekua sasa. Ni hivi huyu Lema ndiye anatamani kukaa jela sasa ni bora aachwe akae hadi akinai na si kumtoa kabla hajaridhika.Twende pamoja sasa.
 
Umeelewa sasa....nashukuru umekua sasa. Ni hivi huyu Lema ndiye anatamani kukaa jela sasa ni bora aachwe akae hadi akinai na si kumtoa kabla hajaridhika.Twende pamoja sasa.
Yaani swali langu ni kuwa,unamshauri nani kuwa aachwe mpaka akinai?Unamshauri hakimu,Mwanasheria wake au unatufurahisha wanaJF
 
Nasikia mradi mpya wa KATA FUNUA ni kwa ajili ya kutafutia pesa ya NDAFU na BIA kuelekea X MAS na mwaka mpya.....Jamaa hawana huruma kabisa na mazombie yaao
 
Back
Top Bottom