Wanajf, salaam!
Jamani wale mnaolaumu kuwa Mhe. Lema kwa nini kakosa dhamana kuweni na nidhamu kwa mahakama zetu. Kwa nini kwa kawaida CDM mmoja wenu akishughulikiwa mnapaza sauti as if ameonewa?
Kwa nini jambo binafsi mnalijengea picha kichama? Akiwa amekosea acheni mahakama zitekeleze wajibu wake. Mfano ndani ya CCM walishughulikiwa akina Mramba, Yona, nk mbona wanaccm tulikuwa watulivu?
CDM na team ukawa, ukuta siwaelewi jinsi mnavyochukukia issue inayomkabiri LEMA!!!