Lema aachwe jela hadi hamu yake iishe

Lema aachwe jela hadi hamu yake iishe

Mi nadhani amekoma! na si yeye tu.... wengi wamekoma! kweli hili ni fundisho kwa wenye mdomo mchafu! Lakin upande wa pili wa shilingi naona kama Serikali inavunja mayai kwa nyundo.
Acheni ujinga.Lema anastahili kupata dhamana.Lema ana haki ya kikatiba ya kutoa maoni yake.
Cha msingi ni Lema apewe haki ya dhamana na kesi ya msingi ianze kusikilizwa.Mtu kuwekwa rumande wakati anastahili dhamana na wala hajapatikana na hatia si haki.
Wewe unayeshabikia kuteswa kwa Lema yatakuja tu kukuta na wewe.
 
Mbona anawakataza mawakili wake wasifuatilie dhamana? suala la mahakamani ni vifungu vya sharia na si kulia lia.
 
Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili, umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu":- Mchungaji Peter
Msigwa
Msigwa yupi?
...ni yule aliyesema anayemshabikia Lowasa inabidi akapimwe akili? sasa leo anayemuamini Msigwa sijui inabidi akapimwe nini. Duh nchi hii inaonekana kila kitu feki hadi wachungaji.
 
Wamwechie bana hakuna binadam aliyekamilika na tabia ni kama ngozi, na ukishindana na chizi mwisho wa Siku wewe ndo unaonekana chizi zaidi. Yule ni kazi ya uumbaji wa mungu, huwezi kumlazimisha MTU kujifunza kama hataki. Ana watoto wanaomtegemea sana. Haya mashindano ya ccm na cdm hayana tija. Pole lema expecting u in street hiyo ijumaa.
Ijumaa gan tena

Hawa vijana wa Chadema ipo siku wataangamizwa kama kibwetere alivyowafanyia wafuasi wake.
 
Siku ya kesi amtukane tu hakimu itakua rahisi kwake kubaki huko
Kiliko kusumbua watu
 
Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.

Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.

Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.

Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.
Sahihi kabisa mkuu
 
Umemsikia mkewe akisema Lema hataki mawakili wahangaike ili apate dhamana?. Umenielewa sasa.
Kwa sarakasi zilizoendelea katika kutafuta dhamana nashindwa kusema nimekuelewa, Lema amesusa kwa sababu mwanzo alikua bega kwa bega na mawakili wake kutafuta dhamana, kutokana na kutotimiza taratibu za kimahakama ameshindwa kupata dhamana na imemkatisha tamaa.
 
Mbona anawakataza mawakili wake wasifuatilie dhamana? suala la mahakamani ni vifungu vya sharia na si kulia lia.
Hoja ni kwamba Lema anastahili dhamana kisheria.Hana kesi ya mauaji.
Tunataka haki itendeke kesi ya msingi ianze kusikilizwa.
Kuna tetesi mahakama imepewa maagizo kutoka juu#Uhuru wa mahakama.
 
Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.

Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.

Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.

Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.
Well said my friend
 
Back
Top Bottom