Lema aachwe jela hadi hamu yake iishe

Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.

Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.

Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.

Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.
Itakuwa vema sana ila na CCM wote muda ukifika wasiachiwe hadi wafie gerezani ....
 
usimwamini msigwa...kwa sasa ndiye mpigamagoti akimwona Lowassa angali alisema 'anayemuunga mkono Lowassa apimwe akili'...kakubali kuongozwa na akili ndogo.
Jamaa anamwabudu sana Msigwa na haka kamsemo kake kila wakimwongelea Lema, kwa nini asiweke na kale kasemo ka Msigwa kuhusu Lowasa?
 
kweli mkuu,,ilo ni koss kubwa sana tunalolifanya bila kujua,,hakuna mtu anayeweza shindana na akashinda zidi ya dola,,baada ya Lema kupata ubunge utalii arusha ulishuka sana coz of maandamano yasio na tija,,dola na watu ivyo lazima watakuwa wanakosea mahali ila kuna njia sahihi za kukosoana na kuhelimishana na sio njia anayotumia Lema,,katika wabunge wa cdm me namuona ambae anaelewa maana ya upinzani ni Nasari,J.
 
Wamwechie bana hakuna binadam aliyekamilika na tabia ni kama ngozi, na ukishindana na chizi mwisho wa Siku wewe ndo unaonekana chizi zaidi. Yule ni kazi ya uumbaji wa mungu, huwezi kumlazimisha MTU kujifunza kama hataki. Ana watoto wanaomtegemea sana. Haya mashindano ya ccm na cdm hayana tija. Pole lema expecting u in street hiyo ijumaa.
 
Napongeza mahakama za Arusha sana, ni wakati wa kumpa Lema displin ya kutosha maana hasomi mazingira.
 
Mi nadhani amekoma! na si yeye tu.... wengi wamekoma! kweli hili ni fundisho kwa wenye mdomo mchafu! Lakin upande wa pili wa shilingi naona kama Serikali inavunja mayai kwa nyundo.
Serikali inavunja yai kwa nyundo kwa sababu Lema badala ya kusubiri kuku atage mwenyewe, yeye anaingiza mkono kutoa yai!
 
Mwaka 2020 watu wengi wa hapa Arusha wamesema hawampigii kura tena washamshtukia kua yupo kwaajili ya tumbo lake.
 
Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.

Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.

Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.

Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.
Hujaeleweka,yaani unapuyanga tu,Umechanganyachangaya habari mpaka angle ya story yako haieleweki.
 
Mwaka 2020 watu wengi wa hapa Arusha wamesema hawampigii kura tena washamshtukia kua yupo kwaajili ya tumbo lake.
hahaaaaaaaa,mlisema hivyo hivyo mwaka jana.Mkaangukia pua,Arusha mtaisikia kwenye bomba tu.
 
Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.

Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.

Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.

Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.
Utakuwa hujaoa wewe ,mkeo akisoma hiki ulichoandika na ushiahidi wa kuonyesha mwenye shida ni wewe na watwala wako atakudharau sana.Anaweza zaa na houseboy. Sasa unabii ndio unawatoa povu hivyo? km ukuta mkajidhalilisha mbaya ,mkaonyesha watu kwamba kweli mna udikteta, km mzee wa upako alivyoamua kujionyesha kuwa ni mlevi kwa kumshambulia jirani huku kalewa.Nani sasa ni mkweli aliyemwita hafai kwa mchungaji au ni yeye aliyekuwa tungi na kuamua leta nouma?
 
Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.

Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.

Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.

Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.
teh teh .. ni burdani gani lema anapata akiwa lupango. nimekua nawaza labda anatafuta umandela feki na wewe unasema anafuata burdani jela.
 
Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.

Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.

Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.

Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.

Kuna siku atawekwa ndani nduguyo na yeye tutataka akae maisha huko
 
Back
Top Bottom