legezo la ticha

legezo la ticha

AMINATA 9

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2011
Posts
2,120
Reaction score
642
ticha.jpg
mwalimu ni mwana kinoma yani hadi raha mpaka chichogoni.......walimi kama hawa mm nawamind kinoma yani mana hachapi waala nn na akikuita utasiki oyoooooo jibu swali kama vipi usinizingue
 
kaaazi kweli kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii fani imeingiliwa
 
ze ticha izi shoga andi iz missingi that stick which sometimes got hard and sometimes nyoronyoro
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day meeeeeeeeeeeen
 
kaaazi kweli kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii fani imeingiliwa
umeonaeeh ila kizazi kinakokuja na ivi wameruhusiwa hao aliowataja hapo juu bujibuji na serikali ya UK waache huru ndio itakuja kua ivo na mpaka uraisi watagombea pia hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kamua ticha,elimu ni biashara tutasomaje? na log off
 
bujibuji unafanya repair ya mbavu?maana zangu umevunja
 
Ticha ticha ..kweli hapo kunakuewlewa kitu kweli?NDO MAANA 5X5 KAANDIKA 55.
 
fashion zingine tabu kabisa. badala ya kuvalisha makalio, watu wanavalisha miguu
 
hakuna mtu mwenye nidhamu kama mwalimu, so that will never happen.
 
waswahili husema ukitaka kununua kiwanja, kikague wakati wa masika. vivyo hivyo kama unataka kumpeleka mwanao kwenye shule yeyote pita pita wakati wa masomo uone walimu wake wakoje wakuu!
 
Back
Top Bottom