legezo la ticha

waswahili husema ukitaka kununua kiwanja, kikague wakati wa masika. vivyo hivyo kama unataka kumpeleka mwanao kwenye shule yeyote pita pita wakati wa masomo uone walimu wake wakoje wakuu!
hapo umenena vema mkuu
 
Kipindi kile nimemaliza six kuna jamaa nilikuwa nikifundisha nao temporary katika shule moja walikuwa wanagawana cha-Arusha na baadhi ya wanafunzi.
 
Kipindi kile nimemaliza six kuna jamaa nilikuwa nikifundisha nao temporary katika shule moja walikuwa wanagawana cha-Arusha na baadhi ya wanafunzi.
mitungi ii ,blunt ......... puff & pass.Nalog off
 
Back
Top Bottom