Ritakahama
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 758
- 411
Kwa upeo wangu my dear nakushauri for the time being usiendelee kuiandika kwanza hii habari mtandaoni kama pressure mapak hapa ushapresulize vya kutosha.Nina sababu nyingi za kukuleza hivyo sitaweza kuandika ila kisheria unaweza ukawa unajeopadize(sijui neno zuri la kiswahili Ruttashobolwa utanisaidia)some evidence and facts halafu pia bwana adui hatakiwi kujua the weapon you possess so for the time being pambana kimya kimya,ukikwama tayari ushaona watu hapa ambao u can consult them thru pm
Last edited by a moderator: