miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
- Thread starter
- #21
Sina uhakika na usahihi wa njia unayoitumia kutatua tatizo hili, linaweza kukuleta matatizo zaidi kuliko kutatua. Nadhani kungekuwepo na njia bora zaidi ya kushughulikia swala hili, kila la heri lakini.
Ungetoa njia nzur yakutatua ingekuwa umenishaur kuliko kusema tatizo alafu uvumbuz wa tatizo husemi.