Lecturer part 2

Lecturer part 2

Usijali kwenye hili utashinda!

Yes ila nimeliona muda mrefu tu lakin tayar nimeshaingia kupambana na huyo mwalimu wala sina sababu ya kuhofia.........mimi ndo nimewapa huo muda.Wameahidi kunilinda ila si unajua tene viongoz wetu hawa.Ila mkuu wa chuo anatoa matumain kidogo coz mpaka ss kuna walimu si chin ya watatu wamesimamishwa.Nahitaj ushaur wenu zaid.
 
duu kweli umejitoa siku ya wanawake dunia lazima nikupe shavu bidada pole sana kwa matatizo hayo..
 
duu kweli umejitoa siku ya wanawake dunia lazima nikupe shavu bidada pole sana kwa matatizo hayo..

Asante sana ......tuombeane tu.Sijawah kupata kesi za namna hii,lakin challenges ndio zinafanya mtu awe creative.
 
Ni nguo gan inayofaa?kama siket aliishika,km blauz pia alishika
Kama kuna kati ya hizo yenye kishkizo , mkanda au sehemu yeyote yenye ugumu kama plastik au chuma au ngoz fingerprints zitaonekana...
 
miss strong pole kwa masaibu.
Kwenye uzi ule wa kwanza nilikua mpinzani sana na mwepesi kukuhukumu, nahisi nawajibika kukuomba radhi kwa uchungu niliokuzidishia badala ya kukushauri na kutoa msaada wa mawazo au kukaa kimya. Uniwie radhi kwa kukurupuka kwangu. I will find peace baada ya kuandika haya/
 
Last edited by a moderator:

Usijal sana ni kawaida..........,nadhani ss unaweza ukanishauri!
 
Mwanangu miss strong,hakikisha unathibitisha kesi yako.Ukishindwa kufanya hivyo,huyo Mhadhiri atakushtaki kwa kumdhalilisha(defamation). Kama pana ugumu mahali popote,wasiliana nami kwa PM ili tuyaweke mambo sawa. Sikia na uelewe!
 
Last edited by a moderator:
miss strong pole kwa masaibu.
Kwenye uzi ule wa kwanza nilikua mpinzani sana na mwepesi kukuhukumu, nahisi nawajibika kukuomba radhi kwa uchungu niliokuzidishia badala ya kukushauri na kutoa msaada wa mawazo au kukaa kimya. Uniwie radhi kwa kukurupuka kwangu. I will find peace baada ya kuandika haya/

Ww ni muungwana.......,umekaa nakujitathimin na kuona kwel ulikosea.Mungu akubariki sana
 
Mwanangu miss strong,hakikisha unathibitisha kesi yako.Ukishindwa kufanya hivyo,huyo Mhadhiri atakushtaki kwa kumdhalilisha(defamation). Kama pana ugumu mahali popote,wasiliana nami kwa PM ili tuyaweke mambo sawa. Sikia na uelewe!

Sawa mzazi.........nitawatafuta wote.Mimi sidhani kbs kama lengo ni kumdhalilisha,ila yy ndo mwenye lengo la kunidhalilisha.
 
Mwanangu miss strong,hakikisha unathibitisha kesi yako.Ukishindwa kufanya hivyo,huyo Mhadhiri atakushtaki kwa kumdhalilisha(defamation). Kama pana ugumu mahali popote,wasiliana nami kwa PM ili tuyaweke mambo sawa. Sikia na uelewe!

Kuthibitishaje mkuu?
 
miss strong hii case ni ya wewe kutaka kubakwa+kunyanyaswa+kudhalilishwa hivyo basi ndio maana tunatoa ushauri hili uweze kuthibitisha pasi shaka kuwa ulifanyiwa hivyo na pamoja ushahidi unao ili uweze kuutumia vizuri!

Anacho maanisha @vuta ni kuvute ni kwamba ukishindwa kuthibitisha hayo madai maana utakuwa umemchafulia jina huyo lecturer may be anaweza aka ku sue kwa kumchafua(defamation) hivyo ana sisitiza uwe makini na uhakikishe unamtia hatiani!

Lakini kwa mzingira ya hii case utamtia hatiani na hili swala linaweza kumalizwa hapo chuoni kama principle yupo makini kama ulivyo tueleza hapo juu!

Hakikisha unashinda hii case miss strong!

Kuthibitishaje mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu sina ujuzi na hivi vitu, ila intuition yangu ndio ililenga huko. wenye utaalamu mkuu watatusaidia.
Lakini mbele ya hela kama ilikuwa haiwezekani Mkuu, mbona kitu kidogo iko? wabongo waliwahi kuforge hata signature na mihuri ya kule anakokaa saa za kazi Mwenyekiti wa taifa hili. Pamoja sana Kamanda.
Fingerprint kwenye nguo mkuu?!! Tena skin tight?
 
Najua sipo peke yangu ktk hayo mapambano....Mungu ni ngao yangu.

Dah....jipange lakini,kuendesha kesi si kitu ya mchezo,kuna muda,pesa,na mengineyo

kila la kheri shosti

NB:kwa ninavyowajua wanawake hasa wadada wa chuo,wengi hapo watakuwa wanakushangaa na kukuona unaringa....

kumbe unawasaidia...

ha ha ha !

Back
Top Bottom