Lecturer part 2

Lecturer part 2

Safi sana mdogo wangu....

Hakuna thamani kubwa kwa mwanadamu tena wa kike kama kupigania haki ya kutodhalilishwa....

Kwa kufanya hayo, umejitendea haki wewe na kikazi chako, bila kujali kwamba wanaokuzunguka ni wadau au washiriki wa udhalishaji huo..

Hata ukihisi kuwa umeshindwa, mie nasema kuwa tayari umeshinda kwa kiwango kikubwa.

Kazi buti umalizie hiyo ngwe..

Mungu akubariki na kukusimamia...

Babu DC!!

Asante mkuu kwa kunipa nguvu....najua tutafika mwisho tu
 
Hongera kwa maamuzi mazuri ya kulala mbele na huyu mbakaji mpaka kieleweke, labda mamuzi ya kisheria yatakayochukuliwa dhidi ya huyu mbakaji yatapunguza kwa kiwango kikubwa au kuondoa kabisa tabia hii ya kuwadhalilisha Wanawake katika vyuo vingi nchini.
 
Niliogopa kujikuta hata kumtia ukucha coz nilishapata tetes kuwa afya yake wanaitilia shaka kwahyo nilikuwa najihami sana.Kwahiyo sikuweza kufanikiwa.
aisss kumbe kuna vitu vingi vilisababisha kumnyima!!!
 
Unaweza ukawa suspected ktk jambo fulan tokana na tabia.Kwahyo kiukwel kabla yakusikia hayo nilikuwa sina iman nae tu lakin baadae nikasikia hayo kabla sijakwenda siku hyo niliyochaniwa nguo.
 
Hongera kwa maamuzi mazuri ya kulala mbele na huyu mbakaji mpaka kieleweke, labda mamuzi ya kisheria yatakayochukuliwa dhidi ya huyu mbakaji yatapunguza kwa kiwango kikubwa au kuondoa kabisa tabia hii ya kuwadhalilisha Wanawake katika vyuo vingi nchini.

Kwa msaada wa Mungu tunayaweza yote.
 
Tatizo simu au?mode nashindwa kugonga like kama mara ya kwanza
 
mdogo wangu kwanza nikupe hongera kwa ujasiri ulionao.ila binafsi naona kwa upande fulan isije ikaonekana na wewe una makosa mfano.
(i)unaenda ofisi ya lecture wa kiume ukiwa umevaa skin tight kweli??? na hatujui shepu yako ikoje huon kama tamaa ya lecture kutaka sex kwa nguvu labda muonekano wako hiyo cku au siku zote especially mavaz u look as if m*a*l*ya??
(ii)ninachojua mimi kama muonekano wako ni mwanamke anayejiheshim na mwenye msimamo kuanzia mavazi hata sura inajionesha dhahiri huyo lecture angeanzia wapi kumvamia tu?
(iii) naomba kujua maongez yenu cku zote ulizokuwa unamrekodi kwa aliyokuwa anakuambia example kukutongoza majibu yako yalikuwaje.kumbuka we c mtoto under 18 na cku za mwanzo alizokuwa anakueleza utumbo na we kumrekodi kwa nn usingetumia hivyo vigezo at the beginning kutoa taarifa kwa dean wa facult akusaidie kurekebisha hiyo course work?
(iv)na kama wengi wamekuchukia kwa kitendo ulichofanya yupo hata 1wa kukusaport kuonyesha kweli lecture muhuni au ni hiyo cd na nguo?
(v)vipi tabia yako(binafsi unajijua)je maisha yako hapo chuo ni bint uliyetulia na kujiheshim au ndo wale wale ambao labda umemuhofu tu lecture kwa maneno kwamba huenda anao tofauti na hapo angekula mzigo?

ila all in all hongera kwa ujasiri lakin hakikisha unashinda hilo na usikae kujua tu cd itakusaidia jitahid kupata vielelezo vingine vya kushinda hilo.
 
Kwa kuwa sasa umelifikisha kwenye utawala inabidi vilevile uwape na timeline. Hii ni kwa sababu wanaweza wakakuchezea kesi yako ikachukua muda mrefu na kwa hiyo ikakosa maana. Kama hujawapatia huo ushahidi (kama nguo zilizochanwa) ni vizuri ukakaa nazo kwa sababu wao hawana utaalamu wa kufanya vipimo. Ni vizuri kuutoa wakati utakapofika ukahakikishiwa kwamba unakwenda mikononi mwa polisi.
 
Sijui km ulisoma thread yangu ya kwanza kabla ya hii....ila nashukuru Mungu kwa ushauri.Kuna vitu niliona vipo under ma control coz si kila anayekutongoza umkubal na pia ckufikiria kuwa haki ya mtu inatolewa kwa namna hiyo.
 
Utayaweza mambo yote ktk yeye akutiaye nguvu miss strong.. Go go o oooooo lady.. Ukomeshe hao mabazaz na virus vyao vya ukimwi mtchwwwwwwwiiiiiiiii!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Waoooooooh Neggirl......!nashukuru kwa faraja,Mungu bado anaendelea kufanya njia.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa sasa umelifikisha kwenye utawala inabidi vilevile uwape na timeline. Hii ni kwa sababu wanaweza wakakuchezea kesi yako ikachukua muda mrefu na kwa hiyo ikakosa maana. Kama hujawapatia huo ushahidi (kama nguo zilizochanwa) ni vizuri ukakaa nazo kwa sababu wao hawana utaalamu wa kufanya vipimo. Ni vizuri kuutoa wakati utakapofika ukahakikishiwa kwamba unakwenda mikononi mwa polisi.

Asante kwa ushaur.....nguo ninazo.Ni wiki moja yaan kwanzia kesho,nataka tuwe tumeitwa na nijue nn hatima ya jambo hili.
 
kitatwaja muda ukifika tuwe wavumilivu

Hii case inaonekana kama hypothetical vile. I smell something fishy! This is not a true story. Ukifuatilia kwa makini dada huyu anavyojibu maswali ya wachaniaji utajua ni hypothetical. Anataka tu kutoa fundisho fulani kwa jamii lakini kesi sio real.
Kam kesi ingekuwa real sidhani kama angeaileta kwanza jamii forum. Ina maana hawaamini walezi wake hapo chuoni yaani DoS na HoD. Hii ni police kesi na sidhani kwamba kuna mkuu wa chuo atakubali kuichukua na kuihandle mwenyewe wakati dada mwenyewe ameshaiweka public. Kama sio utani kwa nini ailete hapa jami forum badala ya kuihandle na wakuu wake kwanza hapo chuo. Hamuoni kuna utata hapa? Hata hivyo ni fundisho zuri kwa waalimu wenye nia au mwelekeo huo.
 
Dada nawe kwa nongwa si ungempa tu yakaisha mbona unawapa wajingawajinga kitaa
 
Back
Top Bottom