Lecturer part 2

Lecturer part 2

Tunasubiria body ndo itakayotuita....!Nahis siku 2 hz
 
Si busara kutaja chuo kwa ss ila pale itakapobidi nitataja tuu.

Nimeridhishwa sana na hatua hizi za awamu ya pili. Nimekuwa napata msongo wa mawazo kuamini mambo hayo yamo ndani ya Vyuo vyetu maana tafiti nyingi zinazohusiana na jinsia zinaweka chumvi nyingi mno inapokuja swala la kunyanyswa kijinsia. Sasa busara yako itasaidia sana, umejitoa mhanga kutudhihirishia wale tuliokuwa na mashaka na mambo haya.

Kweli, hakuna uharaka wa kutaja Chuo kwa sasa, lakini tafadhali usiachie njiani hizi jitihada. Natamani nikusaidie lakini sijajua nianzie wapi. La msingi tuko pamoja kwa sala na matumaini. Kaza Buti Daima Miss Strong!
 
Maombi yko yatasaidia....,asante sana.
 
Kupigania haki yako, ni sawa na mtu aliyejitoa kujilipua, hupaswi kuogopa. Pambana kwa kila hali bila woga kulinda utu wako na kutoa fundisho kwa wote wenye tabia kama hizo.
 
Thankx HorsePower naitetea hak yangu ingawa nimeonekana mbaya.
 
Miss strong, keep it up! keep fighting for your rights and protecting your dignity. If the monster who is alleged to be sexual maniac and who wants to take advantage of you 'cause he is a 'mwalimu' then let him face the full force of legal machinery and may be he will be able to learn something!
 
miss strong...kweli uko strong...Mungu akusaidie katika hili..umekua shujaa hata ktk hatua hii..maana weng huishia kufuata matakwa ya wahadhiri tu..tz yetu bana..aa
 
Last edited by a moderator:
Miss strong, keep it up! keep fighting for your rights and protecting your dignity. If the monster who is alleged to be sexual maniac and who wants to take advantage of you 'cause he is a 'mwalimu' then let him face the full force of legal machinery and may be he will be able to learn something!

Thanks....let us join together n fightn for our rights
 
Vitisho vimeanza.....natumiwa ujumbe kwenye cm yakufanyiwa vitu vibaya.
 
Back
Top Bottom