Le Mutuz anatarajia kufunga ndoa

Hii ni kutoka vyanzo vya kuaminika.Baada ya huyu ndugu yetu kuishi maisha ya ubachelor miaka mingi sasa kaamua kufanya kweli.Harusi mapema mwakani

Le Mutuz akiwa na Mbebez wake.Yaani wanapendana hadi wanaumwa kwa mpigo.
Le Mutuz ana mwili mkubwa lakini brain yake ndogo sana...juzi aliingilia ugomvi kwenye familia ya mama mmoja aliyezuia watoto wake wasisafiri kutoka marekani kuja kumzika baba yao on family grounds... Lemutuz akaandika kwenye website yake akiwasihi watanzania wanaoishi marekani wamtenge huyo mama kwani alichokifanya kwa mujibu wa Lemutuz ni kitu kibaya sana...maskini baba huyu hakujua kabisa anaingilia mambo yasiyo muhusu wacha atukanwe na kaka wa dada aliyezuia watoto wasije bongo...baada ya hapo eti matusi yale ana yaposti face book anatafuta sympathy kwa watu....Holy cow!!!
 
uknw unajua Mimi niliishi marekani miaka 25 ndio maana nilitoa ushauri hule lakini supergadem mburulaz akanitukana na akaniongezea wafuasi kwenye page yangu na web yangu na nikatengeneza hela uknw
hahahaha I love it!
 
Heheheh chezea le baharia wewe

Anapenda kurukia mambo ili apate umaarufu mbuzi

Le Mutuz ana mwili mkubwa lakini brain yake ndogo sana...juzi aliingilia ugomvi kwenye familia ya mama mmoja aliyezuia watoto wake wasisafiri kutoka marekani kuja kumzika baba yao on family grounds... Lemutuz akaandika kwenye website yake akiwasihi watanzania wanaoishi marekani wamtenge huyo mama kwani alichokifanya kwa mujibu wa Lemutuz ni kitu kibaya sana...maskini baba huyu hakujua kabisa anaingilia mambo yasiyo muhusu wacha atukanwe na kaka wa dada aliyezuia watoto wasije bongo...baada ya hapo eti matusi yale ana yaposti face book anatafuta sympathy kwa watu....Holy cow!!!
 
Ha ha ha ha haaaa kuna wabongo ni magademu mbururazzz wananipiga gademu majunguz lakini mimi naingiza gademu hela na ninapendwa na le mabebez gademu le mtindizz wa ukweli.
 
Back
Top Bottom