William Malecela alienda kumsalimia mtuhumiwa wa wizi wa fedha za umma na kumkuta akiwa na hali mbaya ameomba watu waende kuwajulia hali.
Bwana William aliambatana na mfanyabiashara maarufu bwana Mosha. Pia alipita kusalimia watuhumiwa wengine walioko mahabusu kwa makosa mbali mbali, hongera kaka kwa moyo wa Upendo.