Genecandy
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 491
- 882
Mkuu hamna cha matank wala nini mafuta/Gas bado yapo baharini kutoka hapo Afungi Palma yalipo makazi yao ni KM40 Mpka ilipo hyo gesi ktkt ya bahari huko sasa hivi ndo walikuwa kwenye process za kufunga plant nchi kavu kwa ajili ya kufua gesi ila ndo hvyo kabla hawajaanza ndo alshababy wakaharibu na kazi ikafungwa!Hivi kwa nini waasi hawakuyalipua hayo matank ya wafaransa au hawakupewa ruhusa na wakubwa wao wa Tz