Lazima heshima irudi

Lazima heshima irudi

Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi.

Sasa Mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa, Jumamosi hii tumepanga kuonana, nimeapa lazima nimpe 'k' yule mzee ili kijana wake ashike adabu.

Leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto ni moto.
The intellectuals use social media making $$...

The Mediocre uses social media to waste time, money, mind, well off..

All mankind is lost sababu wachafu ndiyo maeneo yao kuwarubuni ma dada mediocres...

In an information age being ignorant is the choice..

Hongera bigdada kwa kuchagua kuwa ignorant...

Internet of things!
 
Hivi jamaaa akitoka na mama yako au ndugu yako wa damu utajisikiaje? Usifanye maamuzi ya kulipa kisasi, achana nae! Move on.
 
The intellectuals use social media making $$...

The Mediocre uses social media to waste time, money, mind, well off..

All mankind is lost sababu wachafu ndiyo maeneo yao kuwarubuni ma dada mediocres...

In an information age being ignorant is the choice..

Hongera bigdada kwa kuchagua kuwa ignorant...

Internet of things!
we kinakuuma nini fanya na wewe ukiweza
 
Trust me,when it comes to sex,mwanaume hawajali sana kama nyie wanawake.So go ahead,gawa hiyo k,at your own risk.Hakikisha tu huo mgao unatufikia hata sisi maana tumo kwenye ukoo.....,.
 
Bigdada , hapo haurudishi heshima, unaipoteza kabisa. Vilevile haumkomoi mtu, unajikomoa mwenyewe.
Aina ya kisasi unachotaka kukitekeleza unaweza kuja kukijutia maisha yako yote, unajua huyo jamaa nae atachukua hatua gani baada ya hilo tukio?

Kama mapenzi yamefika mwisho, endelea na mambo mengine tu, atatokea mwingine mtaendeleza maisha, usiharibu future yako bure rafiki.
point....
anafikiri..dhambi huzaa dhambi
Bali hekima huzaa busura

mwache........imeandikwa msinyimane kwa idhini ya Paul sio.sharia ya Mungu
 
Usipende kuwa mtu wa visasi. Inauma kwa jamaaako kutembea na rafiki yako. Lkn endelea na maisha yako. Ukigongwa na baba yake, hicho kitu hakitotoka akilini mwako. Kitakutesa maishani mwako
 
Hizi ni dhambi, fikiria baba yako apigwe picha yuko MTUPU! Baba yake kakusoea nini? Kumbuka KARMA is a BITCH will come back to haunt your ASS.
Mungu ...Mungu naskia umemtuma.mtu akafanye ushetan na bab mkwe .wake.

Munhu yupiiiii?jamniii
 
Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi.

Sasa Mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa, Jumamosi hii tumepanga kuonana, nimeapa lazima nimpe 'k' yule mzee ili kijana wake ashike adabu.

Leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto ni moto.
Unaikomoa chai kwa kuijaza sukari?
 
Punguza munkari bi Dada, fikiria kabla ya kutenda, sio utende ndio ufikirie, maana ukifanya hivyo utakuja kujutia tena humu na kuomba ushaur tena
 
Try to be expensive. Kujidhalilisha tuu.....unasema babake kakutumia friend reguest ....wapi?! Kwa maelezo yako na lengo lako wewe ndio ulimtafuta mzee wa watu acha kumsingizia
 
Maisha sio mapenzi tuu ndugu hadi ujishushie heshima kiac hicho....maishani yapo mambo mengi ya kufanya
 
Back
Top Bottom