Lazima heshima irudi

Lazima heshima irudi

Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi.

Sasa Mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa, Jumamosi hii tumepanga kuonana, nimeapa lazima nimpe 'k' yule mzee ili kijana wake ashike adabu.

Leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto ni moto.
Na mimi ni kaka ake mkubwa io huduma ifike na huku isiishie kwa baba tu lazima utupe familia nzima.
 
Unaenda kumvulia nguo baba yako. Kuuona utupu uliomzaa mwanaume aliyekuvua nguo. Ulaaniwe na kizazi chako chote kuanzia cha kwanza hadi cha nne. Alaaniwaye yule auonaye utupu wa mzazi wake. Mzazi si lazima akuzae ila yeye huyu kama ungeolewa na mwanaye ni sawa na baba. Na tayari ujue mwanae alishakuoa ndani ya uzinzi wenu.
Hivi wewe ni ke au me?
 
Wewe ni DANGA uliyetukuka...
Una akili ndogo ndo mana jamaa yako na rafiki yako wakakunzukuka
 
Tena ukienda hakikisha mpaka anakuamkia....sugua mpaka itoke damu!
 
hawa wadada sometimes wana.maamuzi magumu sana na ni ngumu kumeza sijui nani yupo nyuma ya maamuzi yao anyway ukishadate na huyo kikongwe hebu njoo kwangu nami nivunje kibubu.

Sasa hapo kutakua na tofauti gani kati ya mamuzi yako na maamuzi yake mkuu?
 
Mwaka jana ulikua na miaka 32. Kwa akili hii utakuwa ushaliwa sana ndo maana jamaa kaamua kusepa mapema.
 
Faida kwao kwani ndani ya familia moja utakuwa umevuliwa pichu na watu wawili huoni wao yaani MTU na baba ake ndio watakuwa washindi katika pambano hili...?? Maana utakuwa ushaonjwa na watu wawili was familia moja
 
Back
Top Bottom