Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,655
- 8,584
weka nyuzi zake uone maduduMimi baba yake Mdogo ukitembea na baba yake uje kwangu tumkomoe.
weka nyuzi zake uone maduduMimi baba yake Mdogo ukitembea na baba yake uje kwangu tumkomoe.
hahahaa.. 0713Hapo itakua hujafanya poa mpe baba mkwe mzutii
Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi sasa mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa jumamosi hii tumepanga kuonana , nimeapa lazima nimpe k Yule mzee ili kijana wake ashike adabu leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto no moto
nitashangaa kama utaniambia umewai kwenda shule!Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi sasa mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa jumamosi hii tumepanga kuonana , nimeapa lazima nimpe k Yule mzee ili kijana wake ashike adabu leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto no moto
ha hahahahaHata mimi ni baba yake wa kambo, ukimaliza huko uje na kwangu tumtie adabu huyo mwanangu mwehu.
Ivi shosti unaongea kwa hasira tuu au ndio umeamua kufanya kweli? jee umefikiria kua wewe ni mwanamke mwisho wa siku AIBU ni yako sio ya mzee wa X wako, i don't understand what are you trying to prove,lakini nahisi una hasira sanaNimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi sasa mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa jumamosi hii tumepanga kuonana , nimeapa lazima nimpe k Yule mzee ili kijana wake ashike adabu leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto no moto
HHAAHAHAAAHata mimi ni baba yake wa kambo, ukimaliza huko uje na kwangu tumtie adabu huyo mwanangu mwehu.