kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
Huyu ndiye jamaa yako umemsahau tu. Natafuta mchumba wa kuoa nilifiwa na mkewe kinakuuma nini fanya na wewe ukiweza

Sasa kama wewe ni KIBUNGO huyo mzee anaweza hata asikuangalie usoni mara mbiliNimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi.
Sasa Mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa, Jumamosi hii tumepanga kuonana, nimeapa lazima nimpe 'k' yule mzee ili kijana wake ashike adabu.
Leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto ni moto.
Hivi jamaaa akitoka na mama yako au ndugu yako wa damu utajisikiaje? Usifanye maamuzi ya kulipa kisasi, achana nae! Move on.
Ili umkomoe vizuri mpe akatembee na mama yako pia na wewe utembee na mbwa wake.Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi.
Sasa Mungu alivyo mwema nimekutana na baba yake kwenye mtandao mmoja wa kijamii akanitumia friend request nikachati naye mwisho wa siku mzee kaomba namba nami nikampa, Jumamosi hii tumepanga kuonana, nimeapa lazima nimpe 'k' yule mzee ili kijana wake ashike adabu.
Leo nimemtumia namba ya baba yake ananibembeleza nimwambie nilikoitoa na nimemjuaje baba yake nataka siku nimshangaze kwa kumtumia picha ya baba yake akiwa mtupu kwani dawa ya moto ni moto.
Changudoa weweNimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima irudi.