KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Lazaro Nyalandu akiondoka na kuwapungia wadau soko la kariakoo jijini Dar es Salaam leo muda mfupi baada ya kufanya ziara Sokoni hapo
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitazama aina mbali mbali za mboga mboga katika soko la Tandale
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitazama aina mbali mbali za maharage na kunde kunde katika soko la Tandale alipotembelea soko hilo kujionea hali ya soko na upatikanaji wa vyakula na bei
Wafanyabiashara wa nguo za mitumba katika soko la Tandale wakizungumza na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe lazaro Nyalandu sokoni hapo. Wamemuomba Mh Nyalandu kuwasaidia kuboresha mazingira ya soko hilo ili kuvutia wateja zaidi

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Bw John Henjewele (Aliesimama) akitoa taarifa fupi ya Wilaya yake kwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu. Wengine ni watendaji wa idara za serikali Wilayani Tarime.
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Bw John Henjewele(Mwenye suti kulia) akimpa maelezo Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu kuhusu eneo linalotarajiwa kujengwa soko kubwa la kisasa katika mji wa Sirari Mkoani Mara.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu( Kulia),Mbunge wa Vunjo Mh Augustine Mrema ( Katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mussa Samisi wakizungumza na vyombo vya Habari mara baada ya kutazama sukari iliyokamatwa katika maeneo ya mipakani Mkoani Kilimanjaro.Baadhi ya mifuko ya sukari iliyokamatwa ikiwa imehifadhiwa katika ghala la Polisi kituo cha Polisi Himo Mkoani Kilimanjaro.Mkuu wa Kituo cha poliosi Himo Afande Majura( Kushoto) akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalanmdu na Mbunge wa Vunjo Mh Mrema baadhi ya magari yaliyokamatwa yakiwa na bidhaa mbali mbali za magendo ikiwemo sukari.Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu( Kushoto), akijibu hoja mbali mbali za Mbunge wa Vunjo Mh Augustino Mrema (Kulia) alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea Masoko na vituo vya biashara mipakani kastika Mkoa wa Kilimanjaro. Wanaoshuhudia ni viongozi na watendaji wa Mamlaka mbali mbali katika Mji Mdogo wa Himo.Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitoa maagizo kwa watendaji wa mamlaka mbali za serikali katika Mji mdogo wa Himo mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kutembelea na kukagua masoko na vituo vya Biashara mipakani katika Mkoa wa Kilimanjaro