Lazaro Nyalandu-CCM president candidate 2015! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lazaro Nyalandu-CCM president candidate 2015!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIM KARDASH, Dec 7, 2011.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Lazaro Nyalandu akiondoka na kuwapungia wadau soko la kariakoo jijini Dar es Salaam leo muda mfupi baada ya kufanya ziara Sokoni hapo

  [​IMG]
  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitazama aina mbali mbali za mboga mboga katika soko la Tandale
  [​IMG]
  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitazama aina mbali mbali za maharage na kunde kunde katika soko la Tandale alipotembelea soko hilo kujionea hali ya soko na upatikanaji wa vyakula na bei
  [​IMG]
  Wafanyabiashara wa nguo za mitumba katika soko la Tandale wakizungumza na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe lazaro Nyalandu sokoni hapo. Wamemuomba Mh Nyalandu kuwasaidia kuboresha mazingira ya soko hilo ili kuvutia wateja zaidi


  [​IMG]

  Mkuu wa Wilaya ya Tarime Bw John Henjewele (Aliesimama) akitoa taarifa fupi ya Wilaya yake kwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu. Wengine ni watendaji wa idara za serikali Wilayani Tarime.
  [​IMG]

  Mkuu wa Wilaya ya Tarime Bw John Henjewele(Mwenye suti kulia) akimpa maelezo Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu kuhusu eneo linalotarajiwa kujengwa soko kubwa la kisasa katika mji wa Sirari Mkoani Mara.
  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]  [​IMG]
  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu( Kulia),Mbunge wa Vunjo Mh Augustine Mrema ( Katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mussa Samisi wakizungumza na vyombo vya Habari mara baada ya kutazama sukari iliyokamatwa katika maeneo ya mipakani Mkoani Kilimanjaro.
  [​IMG]
  Baadhi ya mifuko ya sukari iliyokamatwa ikiwa imehifadhiwa katika ghala la Polisi kituo cha Polisi Himo Mkoani Kilimanjaro.
  [​IMG]
  Mkuu wa Kituo cha poliosi Himo Afande Majura( Kushoto) akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalanmdu na Mbunge wa Vunjo Mh Mrema baadhi ya magari yaliyokamatwa yakiwa na bidhaa mbali mbali za magendo ikiwemo sukari.
  [​IMG]
  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu( Kushoto), akijibu hoja mbali mbali za Mbunge wa Vunjo Mh Augustino Mrema (Kulia) alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea Masoko na vituo vya biashara mipakani kastika Mkoa wa Kilimanjaro. Wanaoshuhudia ni viongozi na watendaji wa Mamlaka mbali mbali katika Mji Mdogo wa Himo.
  [​IMG]
  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitoa maagizo kwa watendaji wa mamlaka mbali za serikali katika Mji mdogo wa Himo mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kutembelea na kukagua masoko na vituo vya Biashara mipakani katika Mkoa wa Kilimanjaro

   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,322
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Haaahaa! Sio mbaya kwa kusheherekea miaka hamsini ya uhuru hapo ijumaa. Nchi yetu hii ina watu na vijimambo, lol!!!
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Samahani, ati ndo CV imekamilika hii?
   
 4. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hapana...hizo ni taarifa tu za kiintelijensia kwa kifupi sana...tunaogopa watu wataiba siri za ushindi,ila kwa uchache tu wanamtandao wa bwana Nyarandu wamo pia makada maarufu wa chadema akiwemo GODBLESS LEMA!huyu anatajwa kupewa kazi maalum ya kushughulika na lowassa na ngome yake ya Arusha!
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Na wewe umepewa kazi gani kwenye hiyo timu?
   
 6. Edmond

  Edmond JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Stop dreaming brada.
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  makonde,******,mnyaturu tutamalizia na msandawe ili kulinda umoja wa kitaifa na mpaka hapo hili taifa litakuwa la mwisho+
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  ........good luck
   
 9. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  poaaaaaaaaaaaaaaa
   
 10. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Miaka 50 ya uhuru tutaona kampeni za kuwania uraisi 2015 kila kona!
  1. Kampeni makanisani.
  2. Kampeni misikitini.
  3. Kampeni kwenye sherehe za harusi.
  4. Kampeni kwenye kuzindua miradi.
  5. Kampeni ndani ya JAMII FORUM! Basi ni tabu tupu!
   
 11. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hii ishu ungepeleka kwenye jukwaa la jokes.
   
 12. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,447
  Likes Received: 7,187
  Trophy Points: 280
  Raisi wa UKWATA
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu akawe raisi wa kwao singida na mkewe faraja kota..hebu nipisheni hapa nisije tapika soseji zangu mie
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Samahani, ati hii intelijesia yenu ya kusadikika inakuzuia kuweka CV nzima ya mtu huyo? Hizo story mingi za kusadikika za Lema plus Lowasa sio swali langu la msingi kwa kweli.
   
 15. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mbona hajiamini ,ana meno kweli huyo maaaanaaaaa ,lol....it must be A joke may be Awe Raisi wa Ukwata :photo:
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Acheni utani jamani.
   
 17. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,648
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha haaaaa! Mbavu zangu jamani!
   
 18. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  I like the guy
   
 19. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  I like this guy
  nadhani anaakili
  kimtindo but not
  for presidence
   
 20. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kweli my broda,wait utaona,muda si mrefu ataanza kuwa target ya mwanahalisi na rai.....!
   
Loading...