Lazaro Nyalandu-CCM president candidate 2015!

Hapana...hizo ni taarifa tu za kiintelijensia kwa kifupi sana...tunaogopa watu wataiba siri za ushindi,ila kwa uchache tu wanamtandao wa bwana Nyarandu wamo pia makada maarufu wa chadema akiwemo GODBLESS LEMA!huyu anatajwa kupewa kazi maalum ya kushughulika na lowassa na ngome yake ya Arusha!

Kazi kweli kweli.
 
ila mm nampa credit kwa kuwa amekidhi kigezo no. moja tz cha kuwa handsome na presentable. japo najua hii thread ni ya 2011 lakn bado anafaa
 
images






Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Lazaro Nyalandu akiondoka na kuwapungia wadau soko la kariakoo jijini Dar es Salaam leo muda mfupi baada ya kufanya ziara Sokoni hapo

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitazama aina mbali mbali za mboga mboga katika soko la Tandale
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitazama aina mbali mbali za maharage na kunde kunde katika soko la Tandale alipotembelea soko hilo kujionea hali ya soko na upatikanaji wa vyakula na bei
Wafanyabiashara wa nguo za mitumba katika soko la Tandale wakizungumza na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe lazaro Nyalandu sokoni hapo. Wamemuomba Mh Nyalandu kuwasaidia kuboresha mazingira ya soko hilo ili kuvutia wateja zaidi


TWO.JPG


Mkuu wa Wilaya ya Tarime Bw John Henjewele (Aliesimama) akitoa taarifa fupi ya Wilaya yake kwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu. Wengine ni watendaji wa idara za serikali Wilayani Tarime.
THREE.JPG


Mkuu wa Wilaya ya Tarime Bw John Henjewele(Mwenye suti kulia) akimpa maelezo Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu kuhusu eneo linalotarajiwa kujengwa soko kubwa la kisasa katika mji wa Sirari Mkoani Mara.









Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu( Kulia),Mbunge wa Vunjo Mh Augustine Mrema ( Katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mussa Samisi wakizungumza na vyombo vya Habari mara baada ya kutazama sukari iliyokamatwa katika maeneo ya mipakani Mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya mifuko ya sukari iliyokamatwa ikiwa imehifadhiwa katika ghala la Polisi kituo cha Polisi Himo Mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Kituo cha poliosi Himo Afande Majura( Kushoto) akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalanmdu na Mbunge wa Vunjo Mh Mrema baadhi ya magari yaliyokamatwa yakiwa na bidhaa mbali mbali za magendo ikiwemo sukari.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu( Kushoto), akijibu hoja mbali mbali za Mbunge wa Vunjo Mh Augustino Mrema (Kulia) alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea Masoko na vituo vya biashara mipakani kastika Mkoa wa Kilimanjaro. Wanaoshuhudia ni viongozi na watendaji wa Mamlaka mbali mbali katika Mji Mdogo wa Himo.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitoa maagizo kwa watendaji wa mamlaka mbali za serikali katika Mji mdogo wa Himo mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kutembelea na kukagua masoko na vituo vya Biashara mipakani katika Mkoa wa Kilimanjaro



Heeeeeee heeeeee naona umetumwa kupima upepo uone ukoje....pouleeeee
People huyu n vascodagama mwingine baada ya jk..........am sure akiwa rais atajenga ikulu ndogo marekani
 
Back
Top Bottom