KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
- Thread starter
- #21
makonde,******,mnyaturu tutamalizia na msandawe ili kulinda umoja wa kitaifa na mpaka hapo hili taifa litakuwa la mwisho+
ukabila jazz band......!
makonde,******,mnyaturu tutamalizia na msandawe ili kulinda umoja wa kitaifa na mpaka hapo hili taifa litakuwa la mwisho+
Hii ishu ungepeleka kwenye jukwaa la jokes.
Raisi wa UKWATA
Wewe dizaini unasumbuliwa na chuki binafsi zaidi,hutaki Faraja Kota awe First lady sio?huyu akawe raisi wa kwao singida na mkewe faraja kota..hebu nipisheni hapa nisije tapika soseji zangu mie
Samahani, ati hii intelijesia yenu ya kusadikika inakuzuia kuweka CV nzima ya mtu huyo? Hizo story mingi za kusadikika za Lema plus Lowasa sio swali langu la msingi kwa kweli.
Stop dreaming brada.
angesubiri angalau ifike jioni ndiyo aanze kuota, sasa yeye anaota asubuhi ya saa nne, atakuwa mgonjwa, twasubiri tuone.
Salutation
Honourable First Name: Lazaro Middle Name: Samuel
Last Name: Nyalandu
Member Type:
Constituent: Singida Kaskazini Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 9503, Dar es Salaam Office Phone: +255 784 777 020/+255 784 273 272/+255 754 382 625 Ext.:
Office Fax: +255 22 2648028 l
How comes that office location is in Dar es Salaam instead of Singida North?
Hapana...hizo ni taarifa tu za kiintelijensia kwa kifupi sana...tunaogopa watu wataiba siri za ushindi,ila kwa uchache tu wanamtandao wa bwana Nyarandu wamo pia makada maarufu wa chadema akiwemo GODBLESS LEMA!huyu anatajwa kupewa kazi maalum ya kushughulika na lowassa na ngome yake ya Arusha!
...Ha ha ha usisahau pia kuwa data zake za kubaka videmu vya kiafrika kule chuoni USA zipo na zinamsubiri tuu. Wata M-Cain chap chap akitia pua yake... !!
Mzee wa mamvi ashawatafuta wale madem na kuwatafutia lawyer maaruf ili filimbi ikilia tuu basi ni ile rafu ya Amasha iliyovunja mguu wa Yussuf Ismail Bana miaka ileee..... !!
miaka sita iliyopita watanzania walisema hivivi." tunampenda mtu huyu, ni mzuri". leo wanasema "ametusahau". yaani tumekuwa wavivu hata tunashindwa kushawishi tunaposema tunampenda mtu huyu, ni sababu zipi zinapelekea tuseme tunampenda au anafaa.I like this guy
nadhani anaakili
kimtindo but not
for presidence
Ndio mana nikasema anakuja kivingine kabisa katika historia ya siasa za bongo,anakuja kisanyansi zaidi,kwanza kabisa atazindua kitabu kuelezea historia ya maisha yake yote,humo kutakua na kila kitu,kama aliwahi kuvuta bangi au aliwahi kufanya uchafu wowote katika ujana wake n.k. kila kitu atakiweka wazi humo,so zipo hazitakua na mashiko tena kwani hazitakua newz....na kumbuka nimekwambia ana watu kila kundi hata kwa huyo maamvi watu wengine wanafanya kazi zake kwa hiyo anayajua mengi kabla!jamaa amejipanga jamani na hajaanza leo wala jana!
LOL........:spy:I like this guy
nadhani anaakili
kimtindo but not
for presidence