Hahahahahahahahhahahaha, imebidi nicheke kwa kuwa ni rahisi kulalamika na kunyoosha vidole kwa wenzako wakati ukinyosha kidole kimoja wakati vidole vitatu vinakukosoa wewe na kidole gumba kinasema mimi ni shahidi.Hivi kwa nini hawa mawaziri wetu wako so out of depth with issues?
Kajitahidi kujieleza kuhusu pembe za ndovu na mauaji lakini kwa kweli hawa mawaziri wanahitaji wafanyiwe media training namna ya kujibu maswali na kilichoshangaza zaidi ni kuwa huyu NYALANDU ni DIASPORA aliyerudi na kupewa nafasi (inawezekana kuna siri kwa nini wana diaspora wanachukiwa) lakini I wish Mkapa angefungua shule ya kuwasomesha hawa vijana kujiamini na kuweza kumwaga issues bila kutetereka
Sasa hii interview imekuwa ni kama vile TRAIN CRASH.
Sasa tufanyeje? PR imetushinda, English kwetu tatizo, ubishi ndio tunachojua, ufisadi uko kwenye DNA yetu, hatutaki kukosolewa, hatutaki kujikosoa, hatutaki kuingia kwenye duania ya utandawazi, kila kitu chetu substandard, tunawachukia zaidi waliofanikiwa kwenye maisha na biashara, hatupendi kuambiana ukweli, media yetu ni disgrace, wanaisasa wetu (opposition na ruling) nao ni kama vile wendawazimu.
Hivi sisi tumelaaniwa?
hivi kweli huu ni muda wa kufanya PR wakati waua na wafanya biashara haram wanajulikana?
What happened to the rule of Law & Order?
Hivi kwa nini hawa mawaziri wetu wako so out of depth with issues?

mvivu ni wewe,unataka uwekewe kila kitu mezani.umeitafuta hiyo clip ukaukosa?shame on youUmeona Mkuu? Wa-Tz tuna uvivu kila mahali sasa huyu naye anafikri wote tumefuatilia hayo mahojiano! Shame on him!
Lazaro Nyalandu hana kosa hapo alilolifanya.Mleta mada kama una lingine anzisha thread mpya.
Tuliza jaziba mleta uzi, hebu tueleze kwa ufafanuzi kitu gani amechemka, uliulizwa jambo gani likamshinda kujibu nk ili nasisi tuchangie.
Mleta mada jipange ili ueleweke,kwa hiki ulichokiweka ni wazi kuwa wewe una tatizo kubwa zaidi.
Aasante mzee ila mambo ya serikali ya Kikwete yanatia kichefuchefu si kwamba hamna watu wenye exposure bali kuna ile tabia ya kupeana madaraka kiundugu au kiurafiki au kimaslahi fulani! Hebu niambie yule mama aliyepewa uwaziri wa fedha sidhani kama hata ana diploma sasa hebu niambie mkutano wa Davos mwaka kesho akiwekwa kwenye panel ya think-tank ataongea nini kama si cinema nyingine ya Mugulo.
Hivi kwa nini hawa mawaziri wetu wako so out of depth with issues?
Kajitahidi kujieleza kuhusu pembe za ndovu na mauaji lakini kwa kweli hawa mawaziri wanahitaji wafanyiwe media training namna ya kujibu maswali na kilichoshangaza zaidi ni kuwa huyu NYALANDU ni DIASPORA aliyerudi na kupewa nafasi (inawezekana kuna siri kwa nini wana diaspora wanachukiwa) lakini I wish Mkapa angefungua shule ya kuwasomesha hawa vijana kujiamini na kuweza kumwaga issues bila kutetereka
Sasa hii interview imekuwa ni kama vile TRAIN CRASH.
Sasa tufanyeje? PR imetushinda, English kwetu tatizo, ubishi ndio tunachojua, ufisadi uko kwenye DNA yetu, hatutaki kukosolewa, hatutaki kujikosoa, hatutaki kuingia kwenye duania ya utandawazi, kila kitu chetu substandard, tunawachukia zaidi waliofanikiwa kwenye maisha na biashara, hatupendi kuambiana ukweli, media yetu ni disgrace, wanaisasa wetu (opposition na ruling) nao ni kama vile wendawazimu.
Hivi sisi tumelaaniwa?
hivi kweli huu ni muda wa kufanya PR wakati waua na wafanya biashara haram wanajulikana?
What happened to the rule of Law & Order?
- Hivi what is the point here? Unasema Nyalandu hajui English au what? I mean kama unawajua hao wauaji kwa nini usiweke majina hapa au kwa wahusika yakafanyiwa kazi? Kwani wewe sio mwananchi wa Taifa hili? Rubbish!!
Le Mutuz
acha kuleta siasa ktk jambo nyeti.hayo majina yakiwekwa hapa JF,nini mwisho wake.jf ni serikali?.jf ni jeshi la polisi?,jf ni mahakama?.
Kwenye Bible Kuna mistari inasema kuwa "ukaangalie ni wapi ulipoanguka, utubu...". Therefore Tanzania ni lazima iangalie ilikosea wapi, tukajirekebishe before it is more than too late.