Lazaro Nyalandu alivyochemka kwenye BBC HARD TALK

Lazaro Nyalandu alivyochemka kwenye BBC HARD TALK

Mwenzenu naye anataka kuwa the next president wa Tz.

Shamba la bibi
 
DSC03959.jpg
 
Mkuu, umesikiliza interview lakini? hapakuwa na pakusoma ilikupasa kusikiliza interview na kisha u-comment. Mimi nimemsikiliza vizuri nyaladu na sidhani kama kuna swali alilojibu direct. in fact maswali karibu yote yalimshinda.

Nyalandu ni mhusika mkuu wa ujangili. amesema kuna wanasiasa wa ngazi ya juu wanaoshiriki ujangili lakini kashindwa kuwataja; akbanwa awataje japo mmoja lakini hakutaja.

Nyalandu ni janga!

Namfahamu Nyalandu tangu enzi zile nasoma masters USA....

nilimfahamu huyu bwana kupitia kwa nduguze mama Anna Mkapa waliko mbele....

Ni familia ya mkapa ndo imemwinua kisiasa lakini jamaa katika maisha yake binafsi ni dhaifu mno Wa kifikra na kimaadili ..

Binafsi nilishangazwa na kushituka niliposikia kawa full minister tena maliasili....

IPO haja ya Ku review mfumo wetu Wa teuzi maana unabeba watu wengi wenye mashaka....

Mfano MTU Kama masele aliyewahi fukuzwa Tigo kwa wizi unajiuliza amepataje uwaziri....
 
Huyu bado anabembea tuu?
 
Hana jopya huyu playboy
 
Kwenye Bible Kuna mistari inasema kuwa "ukaangalie ni wapi ulipoanguka, utubu...". Therefore Tanzania ni lazima iangalie ilikosea wapi, tukajirekebishe before it is more than too late.

Ilipokosea Tanzania ni pale walipochagua CCM tena na kuwaweka viongozi recycled kuja kuendeleza jadi/wizi bila kujali hali ya wananchi wao.
 
Nyalandu hajachemka as of his english…quality..the problem is he is defending his post..

What do you do when the top authority which actually put you in power is involved in what is supposedly supposed to be something you have to stop..

Hawez fight hiyo vita unless aamue kupoteza kazi yake kama Kagasheki…he is defending nonsense!! na hicho ndicho understandably (off course kwa ubinafsi wake) anachochemka
 
Kachemka.

Kama umeamua kutetea uovu, tetea uovu kweli.

Sio unaulizwa "kuna kigogo yeyote mmemshika na kumshitaki?

Unajibu ndiyo. Unaulizwa "Kigogo gani?".

Unajibu ooh, kuna mkuu wa wanyamapori wa wilaya huko Singida.

Stephen Sackur akasema eboo, mi nilijua unanitajia kigogo wa kweli.

Umeisikiliza interview?
 
Issue ya ANTI EZEKIEL imenimaliza kabisaaa
 
Kachemka.

Kama umeamua kutetea uovu, tetea uovu kweli.

Sio unaulizwa "kuna kigogo yeyote mmemshika na kumshitaki?

Unajibu ndiyo. Unaulizwa "Kigogo gani?".

Unajibu ooh, kuna mkuu wa wanyamapori wa wilaya huko Singida.

Stephen Sackur akasema eboo, mi nilijua unanitajia kigogo wa kweli.

Umeisikiliza interview?

Kusema ukweli watanzania hatuwezi kujibu maswali ya msingi zaidi ya blaaablaaa. Nyalandu anaulizwa vigogo ni wapi! Anasema wapo ila issues zao ziko under investigation, kwa hiyo hawezi kuwataja! Mmmmh, tunapenda kujiegemeza kwenye uchunguzi! Ndo shortcut ya watetea uhalifu wa wwtanzania. Kwa hizi siasa zetu inabidi mawaziri wetu wawe makini wakienda kuhojiwa kwenye international media kwani hawataki blaablaa na wanataka ujibu swali uliloulizwa sio kumsifia Prof, Dr, jakaya. Hotuba ya nyalandu imeegemea kwa jakaya na ku deploy jeshi.
 
Back
Top Bottom