Uongozi wa Mafuguli una nia nzuri sana ya kusaidia matatizo yetu lakini Magufuli kwenye uongozi ana mapungufu ambayo inabidi ayajue kama kweli una nia ya kusaidia nchi yetu
1. Omba ushauri: Inaonekana Raisi amekuwa mzito kuomba ushauri au kufikiri anajua vitu ambavyo ajui vizuri. Kama Rais unatakiwa kuwa na utamaduni wa kuomba ushauri kutoka kwa watu kwenli wenye uzoefu kwenye ufanisi na sio elimu tu. Rais amekuwa akitegemea sana wataalamu wa kielimu kutoa mawazo mbalimbali lakini ukwenye ni kwamba nchi inaenda kwa system ya kibepari na ni lazima upate mawazo kwa watu wanaofanya na uzoefu wa shighuli
a. Kwenye Bank kuu: Raisi haja pata ushauri mzuri wa ukweli kwamba Gavana wa bank kuu na mfumo wa sasa wa bank hausaidii biashara ndogo ambazo ni waajiri wakubwa wa wananchi. Nchi nyingine zimefanya hivi Bank kuu kazi kubwa moja wapo ni kuongeza ajira kwa kuhakikisha mazingira ya riba ni mazuri kwa biashara ndogo ambazo zinatoa kazi. Inabidi sharia ibadilishwe kuweka hiyo kazi muhimu ya bank kuu.
b. Mashamba na viwanja: Tatizo kubwa la sera yako ya viwanda ni suala la Aridhi. Kama wewe ni mwekezaji na ukajenga kiwanda cha $100m cha mbolea, cement n.k uwekezaji mkubwa ni land kwasababu kiwanda kinategema sana eneo. Sasa huwezi kupata wawekezaji wakubwa hivyo bila sharia nzuri ya Ardhi maana rehani ya uwekezaji inakuwa kuwa sana (risk) kuliko biashara kulipa
c. Tatizo kubwa ya Mashamba: Tatizo kubwa ni wamasai na wamaghati wanao vamia maeneo bila vibali na kuaribu ardhi na kushusha thamani ya ardhi ukienda bagamoyo, Singida, Dododma, Morogoro , Manyara na Arusha utaona uharibifu. Hili ni tatizo kubwa kuliko tatizo lolote kwenye issue ya mashamba na viwanja
d. Diaspora na viwanja na Mashamba: Kuna sera ya siri ya mawaziri wako hasa wa Ardhi ya kutumia sharia na kuchukua ardhi na kupiga minada kwa Wazawa walioenda nje na kuchukua uraia. Hii sera siyo ya kunufaisha taifa bali ni binafsi wenyewe na wafanya biashara kwasababu wanajua kuna diaspora wana investment nzuri. Tatizo ni kwamba hawa ni Watanzania wazawa na wana ndugu Tanzania na kitendo cha kupiga minada sehemu zao ambazo basically ni za familia italeta migogoro mikubwa sana sio kwa wana diaspora pekee bali kwa ndugu zao ambao ndiyo wafaidika wakubwa wa investment zao. Ukiangalia pesa inayotoka Tanzania kwenda kwa diaspora ni ndogo sana hivyo investment za diaspora ni kwa kuwasaidia ndugu zao Zaidi ya kujisaidia wenyewe na kupunguza investment na kunadi vitu ni kupunguza uwekezaji kwa Watanzania. Acha ushabiki na angalia hilo na ndiyo maana wakina Kikwete na Mkapa walikuwa wanajua sharia lakini wanashauri wana diaspora wakajenge na kununua ardhi kwa kujua kabisa kuna wenye passport mbili. Ukubali usi kubali looser atakuwa wanannchi wa Tanzania sio wana dispora. Winner watakuwa waziri na mashaiba wake pekee.. Kenya wameshutukia hili mapema sana…
2. Elimu: Wanaosema elimu imeshuka wanakosea. Elimu haijashuka kiwango kutoka hapo zamani yaani mwanafunzi wa leo wa kidato cha nne anajua mengi Zaidi ya mwanafunzi wa 1993 kwa kidato cha nne. Tatizo kubwa lililopo ni kwamba mwanafunzi wa kidato cha nne wa 1993 ukilinganisha na wenzake dunia nzima kwa wakati ule alikuwa hajapishana sana na wenzake wa dunia kulinganisha na sasa. Sababu kubwa ni mabadiliko ya technologia ambayo shule zetu na mifumo imebaki static wakati wenzetu wamekuwa wakibadilika na kutumia Zaidi technologia kwa education delivery. Mfano mwanafuzi wa primary anasoma vitabu viwili ya lugha ya Kiswahili kwa mwaka wakali mwanafuzi wan chi za ulaya ni vitabu 100 kwa mwaka kwa wanafunzi wa miaka 11 ni kwasababu wenzetu wameweza kuweka vitabu mpaka mia kwenye laptops na ipad etc. Hivyo inabidi tujiulize na tufanye elimu kwa wakati na kwa ushindani maana technologia ndiyo italeta kazi za kizazi kipya
3. Afya. Tatizo la Afya ni la kimfumo Tanzania inatumia mfumo wa Ulaya wa Medical center kama muhimbili, bugando, hospitali mkoa…nk lakini wenzetu wana tofauti kuwa mmoja ambayo ni kwamba nchi zao ni ndogo sana hivyo system hii ni very expensive na huwezi kuweka kwa nchi kubwa kama Tanzania. Je tufanyeje
a. Mobile hospital : Anzisha mobile hospital ili Dr na Nurse wachache waende vijijini na kutoa chanjo, kutibu macho, mano na kutoa elimu ya afya
b. Elimu magojwa mengi ni ya elimu maana yanatokana na chakula sugar na blood pressure ndizo zinaleta magojwa mengi solution ni elimu.
c. Medical capital equipment training: fundisha mafundi hapo Tanzania kutengenezA vifaa vya CT, MRI vikiharibika badala ya wataalamu wengi au karibu wote kutoka nje.
Nitamalizia sehemu nyingine baadae