Lazaro Nyalandu alivyochemka kwenye BBC HARD TALK

Lazaro Nyalandu alivyochemka kwenye BBC HARD TALK

The BBC World Service just replayed this "Hard Talk" . I am listened.

Steven mwenyewe anasema "you are putting a very positive spin on this".

The way ilivyokuwa described, one would think it was a total disaster, actually it was not stellar, but it was above my expectations, considering this is "Hard Talk" and Nyalandu is a newly crowned social climbed who is still working on his intonations and debate skills.

One of the corner he walked himself into is saying they arrested very senior people, then when Steven asked him to name names, he ends up talking about a Singida warden.

One of the best points he played up was that Tanzania is the only country in Africa to deploy it's military in it's own territory to fight poaching.

The interview in my estimation was not "a waste of bandwidth" as some had us believe.

At the very least it puts a Tanzanian minister on record at the world stage. If Nyalandu slacks, people could always come back to this interview and remind him of the commitment he played up.
 
Mleta mada na Nyalandu huenda wote wana tatizo kubwa zaidi la Watanzania.

Kuna Ph.D thesis katika kuchunguza lishe/ ukosefu wa lishe kwa watoto wadogo Tanzania ilivyo/ inavyo athiri uwezo wao wa kufikiri baadaye.

Imefikia wakati hawa viongozi ni vituko (tunaambiwa Nyalandu katimua wateule wa rais bila consultation na Ikulu) na hao wanaowasema viongozi nao ni majanga (mtu anaanzisha thread na anakuwekea interview clip halafu anakwambia it is a waste of bandwidth)

si makosa yake. Huwa wanajitoa ufahamu. Hushangai tuliambiwa maisha bora kwa kila mtanzania halafu baada ya mda aliyetoa kauli anasema hajui kwa nini nchi yake ni maskini.
 
Mleta mada ni sabseti ya tatizo walilo nalo Watanzania. I would say mleta mada ni janga kubwa zaidi.
Nimesoma hadi mwisho sijaona popote alipotaja kosa alilolifanya Nyalandu katika mahojiano yake.
Mkuu, umesikiliza interview lakini? hapakuwa na pakusoma ilikupasa kusikiliza interview na kisha u-comment. Mimi nimemsikiliza vizuri nyaladu na sidhani kama kuna swali alilojibu direct. in fact maswali karibu yote yalimshinda.

Nyalandu ni mhusika mkuu wa ujangili. amesema kuna wanasiasa wa ngazi ya juu wanaoshiriki ujangili lakini kashindwa kuwataja; akbanwa awataje japo mmoja lakini hakutaja.

Nyalandu ni janga!
 
Mimi namuunga mkono bwana Maega ufafanuzi wako umejitosheleza zaidi. Binafsi pia nimefuatilia hotuba hiyo kuanzia mwanzo hadi mwisho sijaona tatizo lolote la Kiingereza kwa Lazaro Nyarandu. Amejieleza vizuri, kwa umahiri na kwa Kiingereza fasaha kabisa. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Mambo mengine ambayo alishindwa kuyajibu vizuri au kuyatolea ufafanuzi vizuri ni majibu tu ya Wanasiasa wetu wa Tanzania, na hivyo hayahusiani kabisa na maswala ya lugha. Kwa namna nyingine hata kama ingekuwa kwa kutumia lugha ya Kiswahili bado maswali hayo Nyarandu angeyajibu vilevile alivojibu. Kwa hyo unapoleta hoja mkuu ni vzr kufanya utafiti wa kina ili ueleze mambo ya kweli na ya kuaminika kuliko hisia au mihemko tu ya kisiasa. Hata hivyo, tunakupongeza kwa kuweka link watu tumeweza kufuatilia kwani watu wengine hatukuweza kuifuatilia live!
that's true
 
Mazee, Nyalandu is no wonk as I stated before.

Hard Talk si kipindi cha level ya Nyalandu wala Kikwete, mbongo aliyeweza kidoogo kulumbana Hard Talk (tena kwa ubabe baada ya kubanwa mbavu sana) alikuwa Mkapa alivyolumbana na Tim Sebastian if I remember correctly.

Thread hii hapa

https://www.jamiiforums.com/habari-...638-benjamin-mkapa-on-bbc-hardtalk-video.html

Lakini kama unasema interview ni waste of bandwidth kuifanyia analysis, na wewe ndiye umeanzisha thread hii hapa JF , na interview umeileta hapa, umeanzisha thread na kuleta interview ili iweje?

Maana nataka kuisikiliza (mimi nilisikia clip katika a World Service News programme nafikiri), lakini kwa mujibu wako unasema ni waste of bandwith in a 180 degree move that contradicts the entire sense of you starting the thread and giving us the link to the interview.

Unajua unachotaka zaidi ya kutema sumu tu?

Mawazo yake ni interview Is waste of bandwith but he want to see other people views
 
Unajua kati ya huyu na Mwigilu I believe Mwigilu ni more intelligent than this LAZY LAZARO
 
Mhhhhhhh! Hii ni hatari sana....mtu anaulizwa aelezee kikombe, yeye anang'angania kuelezea kijiko! Anarudishwa kwenye mstari na mtangazaji lakini anapuyanga nje ya mstari!! ENORMOUS!
 
Mr Nyalandu, for how long are you going to keep the ivory stockpiles and for whose benefit?
 
bt pals
we ve to blv siasa ni kipaji yani mwanasiasa au kiongozi yeyote wa binadamu anakuwa tayari apointed from sir GOD sasa nowadays siasa imekuwa sehemu ya ulaji na si kutumikia umma kama wengi tuaminivyo
MY TAKE
LAZARO bado mchanga coz alikosa kujiamini na nahisi by that BP ilipanda
 
Back
Top Bottom