Laugh Out Loud with KANSIIME

Laugh Out Loud with KANSIIME

Kwa hicho kiingilio tutaishia kumuona YouTube!
 
Hicho kiingilio kikubwa manake utacheka Masaa 4 kisha uanze kuwaza utakula nini kesho. Nitachekea kwenye daladala kuna vituko vingi.
 
Thanks for the information, but the price is just too high for some of us. Anyway we will laugh at her clips in our computers. That is all we can afford.
xof8y1.jpg

Book Your Ticket Now..

Sijapata kuona clip ya Kansiime akifanya standup comedy kama kina Basket Mouth (nigeria) au Trevor Noah (SA).
Sana anafanya maigizo ya vichekesho....nadhani waandaaji hawajaelewa soko lake ni lipi

Omondi kwa Kenya yuko powa sana
 
upo sahihi kabisa Omondi ni noma
 
Sijapata kuona clip ya Kansiime akifanya standup comedy kama kina Basket Mouth (nigeria) au Trevor Noah (SA).
Sana anafanya maigizo ya vichekesho....nadhani waandaaji hawajaelewa soko lake ni lipi

Omondi kwa Kenya yuko powa sana
Binafsi namkubali sana Basket Mouth (Two things involved). Anastahili hiyo 90k, ila sio huyu Kansiime!
 
kiingilio ninkikubwa mno,,nilifanikiwa kuona showa ya chriss rock south africa kwa Rand 500 equivalent ya 80000 sh.Chriss rock ni the best duniani na nili cheka mpaka niliumwa tumbo.
Kansiime ni mkali lakini hicho kiingilio ni total rip off.
 
Lough out aloud with Kansiime; But how many tons of laughter can she deliver in a mere 4 hours for that price tag?! is it a case of crowd skimming; rip off, or smart robbery!?
 
Njoo kigoma-ujiji manispaa mi niende ilemela au nyamagana
0714713147

Ilemela ukipangwa shule ya msingi Kabusungu utaikumbuka ujiji, sio ukisikia manispaa unadhani pote ni mjini! Shiiiii! Huku tulipo ni thread ya "standing up comedy" wenyewe wakituona lazima watusemeee kwa monitor!
 
Waandaaji mje mtupe mrejesho, I have a feeling wataingia watu 30, ila ndio mtajifunza.
Bahati nzuri I'm not that miserably hadi kulipia 90 kwa ajili ya kuchekeshwa.
 
Waandaaji mje mtupe mrejesho, I have a feeling wataingia watu 30, ila ndio mtajifunza.
Bahati nzuri I'm not that miserably hadi kulipia 90 kwa ajili ya kuchekeshwa.

Hii ni show ya watu V.I.P
 
Hii ni show ya watu V.I.P

afadhali may be wataelewa
wao 90000 unaona nyingi wenzao ela ya chai wangetaka 10000 wangefanya diamond kwanza uSWaz wengi hawamjui wanamjua wa kwenye video tu mana kwetu uswaz hyo ela pango ya miez sita
 
elfu 90 kiingilio du!leo nalipa buku 6 tu NASUGUA KISIGINO NA TWANGA PEPETA HAPA TABATA MAWENZI BIA ZA ELF 20 NA ELF 4 NAWEKA MAFUTA KWA BODABODA YANGU!KESHO NAAMKA NA ELF 60 NET!NATUMIA ELF 40 KUWASAKA JAHAZ WALIPO KM HAWAPO DAR BASI NAWASAKA FM ACADEMIA THEN ELF 20 NAIANDAA SABATO.ni mtazamo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom