Laugh Out Loud with KANSIIME

Laugh Out Loud with KANSIIME

Ngoja nisubiri tuu,baada ya shoo yake najua nitapata Clips zake via WhatsApp group… so Elfu mbili ya Vocha tu inatosha,
 
Watch Kansime every wednesday at 7.30 pm on citizen tv KE
 
mnalaumu hiyo hela its time wasanii waanze kuthamini kazi yao, its cheaper ukilinganisha na nchi za wenzetu ukienda hata wasani wa level za chini tu utaingia kwa kilo mbili... twende tukacheke
 
kuna haja ya kuandaa shoo mbagala kule kwa shigongo (sijui jina) kwa buku tano
 
kiingilio kinajumuisha vinywaji kadhaa, dinner and a night out with a friend/lover. raha kujipa mwenyewe, kwani michango ya harusi na misiba mnatoa, kujipa raha mnakirihika. Big up dada kansiime
 
kwa Stand up comedy huyo mdada bado sana, huyo Omondi yuko vizuri sana kwenye stand up..kwa wachache watakaofika watakubaliana na mimi..
umeona eee..... Tatizo watu hawaijui stand up comedy na watajuta kupoteza hela zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom