Laugh Out Loud with KANSIIME

Laugh Out Loud with KANSIIME

Yani huwa ananichekesha haswaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
did u guys bring Chris rock or kelvin hart or some... 90G...ha ha ha..hell no way
 
Sijawahi kucheka ninapotumiwa vi-clip vyake whattsap.

Ngoja nikamuone live
 
mmmh hiyo elfu 90 ya Uganda au Tanzania?? hamjatutendea haki fans wa kansime wenye kipato duni.Kiuhalali kabsa mngefanya 30-10
 
Ni mchekeshaji bomba but kiingilio ndio tabu hapa, labda kama wametageti group fulani la watu. Wachekeshaji wetu hapa bongo kiingilio shs. 10,000 tu! Big difference.
 
Huyu dada kiboko kwa kuchekesha.......ila kiingilio bana....labda target ni watu flani classic......wenyewe wanawaita "watu wazuri" .......:msela:
umesema nilichowaza, wanakuambia hakufukuzae hakuambii toka, namkubali sana huyu mdada ila hapa napiga hesabu 90thou na mamsapu another 90 na hamjala na kunywa, mambo mazuri hayahitaji haraka, nilitamani kucheka na Kansime ila inabidi nisubiri mfuko wangu ukue au wakati watakapo weka kiingilio cha uwezo wangu, kwa sasa youtube atanitoa.
 
kwa Stand up comedy huyo mdada bado sana, huyo Omondi yuko vizuri sana kwenye stand up..kwa wachache watakaofika watakubaliana na mimi..
 
hana jipya huyu, bora nimtafute majuto na pembe , pemben senga. tutumie hii 90
 
Mtakaoenda mtakuja mtusimulie hapa, hicho kiingilio, duh!
 
ha ha ha ha ha
huyu mwanamke sio mzima kichwani. nikiona hata picha yake kabla sijasikia maneno nishacheka tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom