Laugh Out Loud with KANSIIME

Laugh Out Loud with KANSIIME

Mbona hapa sioni feedback kama kweli watu walivunjika mbavu?!
 
Kwa bei hio nadhani hata vinywaji vitakuwa vitaendana na bei hizo.., kwahio ushishangae wadau hasa hao wa kwenye meza ya laki saba wanalia badala ya kucheka...
 
Back
Top Bottom