Laugh Out Loud with KANSIIME

Laugh Out Loud with KANSIIME

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,240
Reaction score
5,658
xof8y1.jpg


Book Your Ticket Now..

 

Attachments

  • kansime1.jpg
    kansime1.jpg
    86.7 KB · Views: 1,351
Okay 90,000 entrance..?? mtu anapata dinner ama drinks au ni kuingia na kukaa tu?
 
hahahhaaa kumbe ndio huyu, nilikua na clip yake moja ya uchaguzi hahahahahahahaa she is good oooh
 
Hivi shoo za wachekeshaji wa Kibongo kiingilio huwa ni pesa ngapi vile?
 
tehe tehe tehe tehe she is so talented clips zake huwa zinanichekesha kweli,na hiyo lafudhi yake
 
Huyu dada kiboko kwa kuchekesha.......ila kiingilio bana....labda target ni watu flani classic......wenyewe wanawaita "watu wazuri" .......:msela:
 
Duu! 90,000/=? labda kutakuwa na shoo nyingine baada ya hii kwa ajili ya walio wengi.
 
90,000/= kuanzia saa moja usikumpaka saa tano usiku. That translates to 22,500 Tshs per hour for a single person.

We will laugh out loud, the wallets will weep, unless we are risk takers
....na huenda shoo isianze saa moja exactly.
Eti meza ya watu nane kiingilio ni 700,000/- tu!!
Huyu mchekeshaji atakuwa ni zaidi ya Mr. bean.
 
Okay 90,000 entrance..?? mtu anapata dinner ama drinks au ni kuingia na kukaa tu?
Kwakweli tunaomba jibu la hili. Huyu mdada namkubali sana ila hapo pa elfu 90 ni parefu. Nadhani wanajaribu ku manage crowd.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom