Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,251
Simu gani nyie watu? Hizo ticket ni kama zile mashine za efd.cha msingi ni kuchangamkia fursa ya kukatisha tiketi kupitia simu
Na kuna mabus walishaanza hili muda tu
Simu gani nyie watu? Hizo ticket ni kama zile mashine za efd.cha msingi ni kuchangamkia fursa ya kukatisha tiketi kupitia simu
Ko!!bila shaka serikali ipo sahihi?Wenzetu akili zenu huwa zinaenda likizo? Hizo tickets zinatolewa kama zinavyotolewa risiti za efd au zile fine za traffic
Na kuna ma-bus yanafanya hivi mfano dar lux
Ni lazima tukubali kadri mida utavyoenda teknolojia itabadilisha vingi. Kuna vitu vingi tuko nyuma hata hili nalo tumechelewa tu.
Hakuna cha mfumo, unapoenda kukata ticket kwemye ofis za bus unalotaka kupanda ndio wao wanakata kupitia mashine walizonazo, huzo mashine zipo kama za efdMbona maagizo ni mengi kuliko elimu, elimu itolewe basi mfumo uwe rafiki
Inamaana we ndo kwanza unasikia leo kukatisha tickect kwa njia hiyo?Moja ya sifa kubwa ya serikali ya Tanzania kufanya maamuzi kwa kushtukiza, bila kushirikisha wadau au kufanya pilot study. Na maamuzi yao siku zote yanakuwa ni amri zinazotolewa on short notice. Hili agizo halitekelezeki kirahisi na litaleta shida kubwa.
DaahTahadhari yangu imelenga migomo ya wenye mabasi
Mabadiliko yana changamoto zake mzee hususani kama hamjajiandaa, au hakuna elimu ya kutosha iliyotolewa, imekua ni kama kulazimishana tu kwa kitu ambacho kinahitaji ufahamu pande zote mbili kwa abairia mtumiaji wa hiyo huduma na hata kwa mtoa hudumaNi kawaida watu hawapendi mabadiliko
Mabadiliko yana changamoto zake mzee hususani kama hamjajiandaa, au hakuna elimu ya kutosha iliyotolewa, imekua ni kama kulazimishana tu kwa kitu ambacho kinahitaji ufahamu pande zote mbili kwa abairia mtumiaji wa hiyo huduma na hata kwa mtoa hudumaNi kawaida watu hawapendi mabadiliko
Kwa hii mada ndio uone watu wengi hawana ubongo, mwingine mara anakuambia sijui simu vijijini hakuna mtandao. Mwingine sijui sio wote wenye smartphone.Daah
My sister Sasa wenye mabus wagome Vipi wakat wao ndio wanafurahia sana, MAANA hawata toa fedha kwa madalali kila siku
Daaah nisikitie tuu kwa hiki unachokitetea
Miaka 2 iliyopita wamiliki wa mabasi walikutana kujadili suala hili. Kwenye kile kikao bwana Joseph Kasheku "King Msukuma" naye alikuwapo kama mmliki wa mabasi.Maeneo mengi MTANDAO Ni shida, Sasa sijui mteja analipaje iyo tiketi
Ngoja tuone utekelezaji wakeMaeneo mengi MTANDAO Ni shida, Sasa sijui mteja analipaje iyo tiketi
Wakati Uber inakuja bongo ni Elimu gani ya Kutosha tulipewa hasa sisi abiria?or wakati Mpesa inaingia kwenye market ni Elimu gani ilitolewa?issue inapokuaga ni ya serikali ndo hua tunalilia Elimu ya kutosha..Elimu ipi sasa tunataka itolewe?Mbona ukienda supermarket ukalipa ukapewa risiti hua hatuombi Elimu ya ile system ya kutoa risiti?Heb tuwe sereous aiseeMabadiliko yana changamoto zake mzee hususani kama hamjajiandaa, au hakuna elimu ya kutosha iliyotolewa, imekua ni kama kulazimishana tu kwa kitu ambacho kinahitaji ufahamu pande zote mbili kwa abairia mtumiaji wa hiyo huduma na hata kwa mtoa huduma
Kwani hata sasa mabasi ya mikoani wanasafiri na nauli waliyo toza abiria?Nakwenda ARK tokea Mlandizi....vipi kuhusu hiyo tiketi ya mtandao
Bus limeharibika njiani tunahitaji refund tuendelee na safari itakuwaje wakati pesa yoote iko kwa mtandao
Kwahiyo mtanzania lazima awe na smartphone na lazima awe na bando. Ukiwa huna hivyo vifaa HAKUNA kusafiri!View attachment 1667700
Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao , vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .
Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku wakitozwa kodi lukuki ambayo wanailipa bila mizengwe yoyote.
Tahadhari : kama una safari ya muhimu ni bora ukafanya hivyo kabla ya tarehe hiyo , maana lolote la kukukwamisha laweza kutokea .
Nakulilia Tanzania .
Wale wanaokaa na vitabu vya tiketi makwapani itakuwaje?
Shughuli ImekwishaWale wanaokaa na vitabu vya tiketi makwapani itakuwaje?