Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,926
- 20,160
Fursa hiyo kafungue ofisi unakuwa unawakatia tiketi kwa mtandao , unakuwa unalipwa buku au buku 2 kwa tiketi.Sasa mtu wa buchosa ndani ndani akitaka ticket na kwenye mambo ya kutumia mtandao yuko chini inakuwaje hapo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mbona ndege Zina madalali au hujui ?
Kila Kitu Ni fursa