LATRA yawataka wenye mabasi ya abiria kuanza kutumia tiketi za mtandao, watakaoshindwa kufanya hivyo kufutiwa leseni

Kama tu malipo ya serikali shida kupata control number sababu ya mtandao vipi unawahi ubungo unakata tikeki unaambiwa hakuna kupanda gari had message ifike message inafika kesho.Afrika technology bado sana
 
😀😁😂😃🤣
Tutapanda Tu
Kuna Siku Nimetoka Morogoro ~ Dar es Salaam
Njiani Waliopanda Hakuna Mtandao Ikawa Shida
Kupata Ticket!!
 
Moja ya sifa kubwa ya serikali ya Tanzania kufanya maamuzi kwa kushtukiza, bila kushirikisha wadau au kufanya pilot study. Na maamuzi yao siku zote yanakuwa ni amri zinazotolewa on short notice. Hili agizo halitekelezeki kirahisi na litaleta shida kubwa.
Na usisahau watoto wa wachawi hawanaga dogo, kazi kumsaidia shetani kukukwamisha
 
Back
Top Bottom