Laptop mpya

Laptop mpya

2-3 unaanza kupata laptop nzuri mpya, ukiwa professional zaidi ya hapo, sema ni suala la muda tu, ukiskia makampuni ya Ai yanaanza kupoteza hela na hisa zao zinashuka basi na bei za laptop zitashuka kurudi kama mwanzo.
Vipi mkuu, AI inataka kuwa kama Crypto kipindi kile nn, GPU zikauzwa hadi laki, make saivi chochote chenye memory bei haishikiki.
 
Zaidi ya crypto mkuu, maana ile ilisumbua gpu tu, sasa hivi CPU, ram, gpu, to the point hadi simu Nazo hazijasalimika, na watu wanafungia tu ndani, hata hawazitumii. Reports nyingi zinatoka sasa hivi Kina Microsoft, Google, FB na wengineo hizo ram hata hawazitumii zote wanaweka tu ndani kwa ajili ya baadae, Microsoft anatumia chini ya nusu ya ram anazonunua. So wanaflex tu uwezo wao wa hela, huku sisi tunataabika.
 
Kwa specifications hizi vipi? Nzuri kwa medium-heavy duty tasks?
IMG_3945.jpeg
 
Back
Top Bottom