Nestory Semeni
Member
- Jul 8, 2024
- 28
- 49
Hakuna laptop nzuri au mbaya,
Na kama hukujua ni hivi unaweza ukanunua laptop ambayo unasema ni "Nzuri"
Lakini baadae ukaona ni mbaya kwa sababu tu sio laptop ambayo inakufaa,
Uzuri ni jambo moja,
Muhimu zaidi ni kukufaa wewe,
Je ni kwa ajiki ya kazi gani?
Ili kufanya kazi hiyo kwa ubora inahitaji kuwe na uwezo gani wa laptop?
Na zaidi?
Ni brand gani au toleo jipi ambalo limeonekana kufanya kazi hiyo kwa ubora?
Kujiuliza maswali haya kutakusaidia kujua laptop inayokufaa,
Na zaidi utachagua ile unayoona ni nzuri kwa kuzingatia maswalo hayo.
Ndani ya kitabu "Kabla Hujanunua Laptop" kuna maelezo ya kina kuhusu hayo maswali matatu,
Sasa ni bure kabisa kukupata na kitakusaidia kukoa pesa zako hasa ukinunua laptop isiyokufaa.
Karibu DM andika "KITABU" nitakutumia.
Whatsup namba: 0743002599