Kariakoo kibao tuu anapata HP With due respect Chief Mkwawa hawezi kupata computer mpya ya 1-1.5m kweli hapa Tanzania au ulikua unamtania? Ukiachana na Macbook naona anapata tena yenye specifications nzuri tuuHakuna laptop mpya ya hio bei, tafuta tu mtumba mzuri kwenye warranty kwa muuzaji anejielewa.
Kuna uhaba mkubwa wa ram na ssd cheapest laptop kabisa za wildcat lake ni around $600 soko la kimataifa, even wachina brand ndogo ndogo kama Chuwi walicho manage ni $440 huko kwao China, mpaka ikija huku ujue imeshavuka hio budget.Kariakoo kibao tuu anapata HP With due respect Chief Mkwawa hawezi kupata computer mpya ya 1-1.5m kweli hapa Tanzania au ulikua unamtania? Ukiachana na Macbook naona anapata tena yenye specifications nzuri tuu
Sidhani kama Jamaa anahitaji Workstation ya Ku run Airport nahisi anahitaji PC ya kawaida tuu kama hii ni 1.5m siyo nzuri?Kuna uhaba mkubwa wa ram na ssd cheapest laptop kabisa za wildcat lake ni around $600 soko la kimataifa, even wachina brand ndogo ndogo kama Chuwi walicho manage ni $440 huko kwao China, mpaka ikija huku ujue imeshavuka hio budget.
Utapata hio laptop kwa hio budget either ni mtumba ama mpya ila imekaa sana kwenye stock, machine za ddr4, na hali itaendelea hivi hadi 2027, labda 2028 itakaa sawa huko wakishanjenga Ai zao kwanza.