Lamination mizigo airport Mwanza, ufisadi mpya

Nimejiuliza sana, kwanini lamination ya mizigo inayodhaniwa inaweza kuchafua ndege mfano ndoo ya samaki iwe lazima kufanyiwa lamination tena kwa gharama kubwa vile?

Abiria umefunga vizuri samaki zako kwenye ndoo safi lakini unalazimishwa kufanya lamination.

Kama wenye ndege hawataki kuchafua ndege yao basi wao ndo wawajibike kutengeneza sehemu ya kuhifadhia mizigo michafu.

Siku moja nimeunganisha kibox na kindoo kidogo nikaambiwa lamination ni 15,000 ilihali mzigo mmoja ni 5,000.

Halafu mbona Mwanza tu ndo wenye hizi lamination?? Au hii ni biashara ya nani??.
Kila Airport wanafunga mizigo yote inayovuja na hasa samaki wao wenyewe. Pale Entebbe ni sh 30,000/= za Uganda. Hawaangalii ukubwa bali wanatoza kila mzigo
 
Poti unaonekana ni mara ya kwanza kutumia huu usafiri wa mzee wa hapa kazi...maana hata lugha za huko hujazielewa na unaleta lugha za stationary unapokwenda kufanya lamination ya vyeti vya magumashi ili visijulikane kama ni gushi... huku huwa tunaita wrapping
Ndege imepata mpandaji mfanyakazi wa stationery .Mbona tutakoma na lamination zake.
 
Kwa nini nipangiwe?
JEKI, no search no fly; no wrapping no fly
Why do people wrap their luggage? This is our most common question, and the answer is simple. To protect your luggage while it is not in your presence. We may not like to think about it, however the truth is, theft does occur often when you are not with your bags. This service also protects from damage and the introduction of dangerous items. We have repeat customers who will not fly without wrapping their luggage. For $11 (11 x 2260=TSHS 24860) you can travel with peace of mind, your personal property will be just as you left it.
 
Ni Mwanza tu ndo kuna samaki!!!
Nimejiuliza sana, kwanini lamination ya mizigo inayodhaniwa inaweza kuchafua ndege mfano ndoo ya samaki iwe lazima kufanyiwa lamination tena kwa gharama kubwa vile?

Abiria umefunga vizuri samaki zako kwenye ndoo safi lakini unalazimishwa kufanya lamination.

Kama wenye ndege hawataki kuchafua ndege yao basi wao ndo wawajibike kutengeneza sehemu ya kuhifadhia mizigo michafu.

Siku moja nimeunganisha kibox na kindoo kidogo nikaambiwa lamination ni 15,000 ilihali mzigo mmoja ni 5,000.

Halafu mbona Mwanza tu ndo wenye hizi lamination?? Au hii ni biashara ya nani??.
 
Kwa nini nipangiwe?
Hakuna anayekupangia. Hoja kuu inaonekana ni gharama. Lakini gharama hii iko Airport. Bado unaweza ukawrap samaki wako sehemu nyingine yeyote mjini Mwanza kwenye gharama nafuu ukaja nao na ukapita. Options ziko nyingi. Options sio kupangiwa.
 
Ni kweli kabisa ile mashine pale ina mwenyewe, wakati mwingine ndoo ni kavu kabisa unalazimishwa kuifunga. Hatujaanza kusafirisha samaki majuzi lkn hii tabia imekuwa common sana siku za hivi karibuni
 
Wengi mlio comment humu mmekurupuka na inaonyesha pia wenye kusafiri na ndege ni wachache logic sio kwamba lamination hazitakiwi ila Gharama husika na mzigo husika hakuna lamination simple like that....tuchukulie kamfano kadogo tu hizi lamination za stationary Bei znaendana na Ukubwa (Size) karatasi karatasi za A4 ni 500Tsh while A3 ni 1000tsh...mfano mwingine ni kwenye Kusafirisha Persels (Mizigo) kila mzigo una bei yake so...kwa nini hawa jamaa nao wasiweke huduma zao kwa namna iyo?...Mbona tunaibiana aise
 
Poti unaonekana ni mara ya kwanza kutumia huu usafiri wa mzee wa hapa kazi...maana hata lugha za huko hujazielewa na unaleta lugha za stationary unapokwenda kufanya lamination ya vyeti vya magumashi ili visijulikane kama ni gushi... huku huwa tunaita wrapping
Hahaha uzuri umeelewa na ndo la msingi mkuu.
 
Kila Airport wanafunga mizigo yote inayovuja na hasa samaki wao wenyewe. Pale Entebbe ni sh 30,000/= za Uganda. Hawaangalii ukubwa bali wanatoza kila mzigo
Bora hao lakini hawa eti mzigo ukiwa mkubwa na bei inapanda lakini ukiwa mdogo haishuki.
 
JEKI, no search no fly; no wrapping no fly
Why do people wrap their luggage? This is our most common question, and the answer is simple. To protect your luggage while it is not in your presence. We may not like to think about it, however the truth is, theft does occur often when you are not with your bags. This service also protects from damage and the introduction of dangerous items. We have repeat customers who will not fly without wrapping their luggage. For $11 (11 x 2260=TSHS 24860) you can travel with peace of mind, your personal property will be just as you left it.
Yaani mnashindwa kutekeleza wajibu wenu wa kulinda mizigo ya abiri mnatubebesha sisi gharama hizo?
 
Mtu unajiuliza ndoo iliyofungwa vizuri na haivuji inawezaje kutoa shombo??
Ni kweli kabisa ile mashine pale ina mwenyewe, wakati mwingine ndoo ni kavu kabisa unalazimishwa kuifunga. Hatujaanza kusafirisha samaki majuzi lkn hii tabia imekuwa common sana siku za hivi karibuni
 
Yaani mnashindwa kutekeleza wajibu wenu wa kulinda mizigo ya abiri mnatubebesha sisi gharama hizo?
Dah wasukuma mnafeli sana aisee...hamchelewi beba samaki mkaenda nao ndege kama klm au swiss air mtaishia ziacha pale check in ...mnaambiwa mizigo inachanganyana mle unatakapaka shombo suti za watu huelewi...basi tanguliza mzigo na basi utaukuta visamaki vyenyewe vya buku 5 utadhani dar hamna mabucha..unajua gharama za furmigation za ndege wewe kuondoa shombo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom